All parliamentary appearances
Entries 221 to 230 of 382.
-
6 Nov 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, kazi inayoendelea kwa wakati huu ni kazi ambayo inaridhisha. Wengi wetu tulikuwa hatujajua rangi ya cheti cha kumiliki shamba. Lakini imefikia wakati yale mashamba ambayo yalikuwa yamekaliwa miaka na miaka kupatiwa wenyewe. Kuna wengine hapa Kibera tu. Kulikuwa na shamba la Wanubi ambalo limekaa miaka na miaka. Kila mwaka, lakatwa kipande mpaka sasa limebakia ekari 400. Nakumbuka siku moja Waziri alikuja akatuambia kwamba atafanya juu chini kuhakikisha kwamba Wanubi wanapata ardhi hiyo, hata kama itabidi kuuma risasi. Hiyo ni ishara ya kwamba alikuwa amejitolea kufanya kazi kisawa sawa ili kwamba mambo yaweze kuwa mazuri kwa wale Wakenya wanyonge ...
view
-
23 Oct 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker.
view
-
23 Oct 2013 in National Assembly:
Asante Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja hii iliyoko mbele yetu. Ni Hoja ambayo ni muhimu sana na hata tumechelewa. Inastahili kama tungeanza na hii mwezi wa Machi tulipokuja hapa ili kiwango kile kinachotumika kwa maafisa wa ngazi za juu kikaweze kushukishwa na hata ikiwezekana kikawekwa kiwango kimoja. Ni jambo la kusikitisha na la aibu kwamba Wabunge wanaokaa katika vikao katika kamati wanapata kiasi cha Kshs 5,000 ilhali makamishna waliohojiwa na Wabunge wanapata marupurupu ya kiwango cha juu.
view
-
23 Oct 2013 in National Assembly:
Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, umesikia Kamishna Adan Keynan akisema kwamba wanakamati wa Parliamentary Service Commission (PSC) wanapokea The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
23 Oct 2013 in National Assembly:
Kshs.10,000. Pesa hizo zikitolewa ushuru zinabaki Kshs.7,000 na ilhali kuna mtu anapata Kshs.20,000 kwa kikao kimoja.
view
-
22 Oct 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, I sought a Ministerial Statement---
view
-
22 Oct 2013 in National Assembly:
I am sorry, hon. Speaker. I thought you were through with that one. However, still I have one question which the Leader of Majority---
view
-
22 Oct 2013 in National Assembly:
Yes. It is about Ngomeni Space Research Centre, San Marco. Could the Leader of Majority Party tell this honourable House how much the Italian Government is earning in a year in terms of dollars from that space research centre? Why can Kenya not take over that research centre so that the revenue goes to Kenya’s kitty directly?
view
-
17 Oct 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. I will treat the matter with the urgency it deserves and bring a comprehensive report on the issues the Member has raised after two weeks.
view
-
17 Oct 2013 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I was responding on behalf of the Departmental Committee on Education, Research and Technology.
view