Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 261 to 270 of 382.

  • 16 May 2013 in National Assembly: Ahsante, mhe. Spika. Ningetaka kiongozi wa chama cha walio wengi Bungeni atueleze kinaga ubaga mipango ya Serikali ya kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kutoa habari kwa polisi kwa njia mwafaka, na bila ya kushurutishwa. Mara nyingi vitendo vya ugaidi vinapoibuka kwenye maeneo ambako kuna makundi kama vile Mombasa Republican Council (MRC), uhalifu huo husingiziwa MRC mara moja. Hata hivyo, huwa hakuna wa kusingiziwa uhalifu unapofanywa na view
  • 16 May 2013 in National Assembly: Ahsante, mhe. Spika kwa mwongozo huo. view
  • 16 May 2013 in National Assembly: Nilikuwa nikieleza kwamba maafisa wa usalama wanapofika kwenye maeneo kulikofanywa ugaidi, badala ya kutafuta ukweli wa mambo ili waweze kuwafuata wahalifu vilivyo, wao huwavamia watu wasio na hatia, kama vile wakulima, na hata watoto wa shule. Ninasema hivi nikizingatia kitendo kilichofanyika Malindi wakati Casino ilipovamiwa. Watoto wa shule katika sehemu za mashambani walivamiwa na maafisa wa polisi, wakatandikwa na baadhi yao kukamatwa na kufungiwa korokoroni. Vijana hao waliwekwa korokoroni kwa muda wa siku nane na kuachiliwa bila ya kufunguliwa mashtaka yoyote. view
  • 16 May 2013 in National Assembly: Kwa hivyo, ninamwomba kiongozi wa chama cha walio wengi Bungeni kulieleza Bunge hili mikakati iliyonayo Serikali kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kutoa habari kwa polisi bila ya kushurutishwa ama kuhangaishwa. Polisi wa sasa wanatarajiwa kuzingatia utendakazi na uadilifu wanapotoa huduma kwa wananchi, na siyo kutumia nguvu na kuwahangaisha wananchi kama walivyokuwa wakifanya polisi hapo zamani. Ahsante, Bw. Spika. view
  • 9 May 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Chairlady. As it is, it is actually so important that we have it as it is. If we do not have protection then we are going to be subjected to the Serem kind of thing. That is going to disrupt---- view
  • 9 May 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Chairlady. This clause is giving us protection, nothing more than that. So, we need it and we should have it now, not later than now. I support. view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Asante sana mhe. Naibu Spika. Ningetaka kuunga mkono hotuba ya Rais nikizingatia mambo ya kilimo. Kilimo hakiwezi kufanyika angani bali katika ardhi. Jambo la kusikitisha ni kwamba watu wengi wenyeji wa sehemu ya uwakilishi Bungeni ya Magarini hawana mashamba. Ni wazi view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Mhe view
  • 9 Oct 2007 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I remember that it was a Presidential decree, during a public rally, where the President made it clear that all certificates should be released immediately! Is the Assistant Minister in order to refuse to implement the Presidential decree? view
  • 9 Oct 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, it was a Presidential directive that he releases the certificates without any conditions, but the Assistant Minister is refusing to do so! Why is he doing so? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus