Hassan Omar

Full name

Hassan Omar Hassan Sarai

Born

23rd October 1975

Post

The Director
The Senatorial Campaign Secretariat
P.O. Box 81168 - 80100
Mombasa
Kenya

Email

hasswab@gmail.com

Link

Facebook

Web

www.hassanomar.com

Telephone

071772023

All parliamentary appearances

Entries 791 to 800 of 892.

  • 19 Sep 2013 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, for the record, my names are Sen. Hassan Omar Hassan. First and foremost, I want to appreciate this Motion by the Senator for Kisumu County, Sen. (Prof.) Peter Anyang’-Nyong’o. I am here to second this Motion. First of all, I would like to emphasise that in the conceptualization of our Constitution, Kenya had for too long been bedeviled by the fact that we had weak institutions in the name of political parties. Until recently, political parties were personal vehicles; arbitrary vehicles that did not have the right capacity to discharge the functions that are required democratically ... view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili niunge mkono pendekezo hili la kumleta Sen. Mutula Kilonzo Junior katika Kamati ya Maswala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu. Bw. Spika, Kamati hii ni ya watu wazito. Mwenyekiti, Sen. Amos Wako, alikuwa Mkuu wa Sheria kwa karibu miaka 20. Naibu wake ni kijana ambaye anacheza mpira - ni chipukizi ambaye anacheza namba ya mbele na nyuma. Seneta Sang, hachoki akicheza mpira. view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Katika Kamati hiyo pia kuna aliyekuwa mwenzangu katika maswala ya haki za kibinadamu na ni Bi. Fatuma Dullo, ambaye alikuwa kamishna katika Tume ya kutetea Haki za Kibinadamu. Mwanachama mwingine ni Seneta wa Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, Sen. Murkomen, ambaye amesifika katika maswala ya ugatuzi.. Aliyekuwa Waziri wa maswala ya Kisheria, Sen. Murungi pia ni mwanachama wa Kamati hii. Naibu wa Spika wa Bunge la Seneti, Sen. Kembi-Gitura, pia ni mwanachama. Kuna wakili wa Chama cha Wiper, Bi Sijeny. Pia, mimi ni mwanachama wa Kamati hiyo na mimi ni Seneta wa Kaunti ya Mombasa. view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Mimi ni goal keeper ! Kazi yangu ni kuhakikisha Kamati hii haivuji, ikivuja mimi niko hapo kunyaka. Sen. Mutula Kilonzo Junior, ukija, unakuja katika miamba ya kisheria. Tunakukaribisha kwa kuleta mwongozo. Nilikuwa nikishirikiana na Sen. Mutula Kilonzo Junior tulipokuwa katika Tume ya Haki za Kibinadamu. Ametuwakilisha katika East African Court of Justice. Niko na imani kubwa naye. Ndungu yetu Sen. Billow amesema huu ni wakati wa “digital”, ukiangalia--- view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Bw. Spika, nawaona hapa Maseneta wa kaunti za Kwale, Migori, Kilifi na Taita-Taveta. Pengine wanaweza nieleza, hili neno “digitali” kwa lugha ya Kiswahili ni nini? Hon. Senators: Digitali! view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Bw. Spika, cha kuhuzunisha ni kwamba mfuasi mkubwa wa chama cha Jubilee, Seneta Billow, hajui “digital” kwa Kiswahili ni nini. Alikuwa akiwambia nini watu wa Kaunti ya Mandera? Bw. Spika, kwa kumalizia, ningependa kumkaribisha Sen. Mutula Kilonzo Junior. Ukingalia Seneta Wako, Sang na mimi tuko na Ipad. Kwa hivyo, mambo ni digital. Na wewe pia nakuona unayo. Hebu iinue Bw. Spika aione. view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Sen. Mutula Kilonzo Junior, ningependa kusema tutashirikiana na wewe kama mwenzetu ili tuweze kuhakikisha ya kwamba tumeendeleza ratiba ya Seneti hii na tuweze kupata mwelekeo katika maswala ya kisheria. Asante sana, Bw. Spika, kwa fursa hii. view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Most obliged, Mr. Speaker, Sir. view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Baadhi yetu tumeamua katika zamu hii tuendeleze Lugha ya Kiswahili ili tuijenge. Mwanzo kabisa nimesimama hapa kuunga Hoja hii mkono ambayo imeletwa na Seneta wa Busia. Yeye ni Mwenyekiti wa Kamati yetu ya Legal Affairs and Human Rights. Kuna watu walisema wakati wa kupigania Katiba mpya kwamba wao wangepiga “ndio.” Walipoulizwa kwa nini wanaipigia Katiba “ndio,” wakasema ni kwa vile Sen. Wetangula ameisoma na akasema ni sawa. Wakati huu tuna Hoja ambayo imewasilishwa hapa na Sen. Wako. Hoja hii ninaiunga mkono kwa sababu ni well though through kama vile Sen. Kagwe alivyotamka. Jambo la ... view
  • 18 Sep 2013 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa fursa hii. Mwanzo kabisa, ningependa kumpongeza mwalimu wangu katika Chuo Kikuu cha Moi ambaye wakati huu ni Seneta mwenzetu, Prof. Lonyangapuo. Hili swala la usalama kwa ujumla ni swala nyeti. Sisi tungependa kushinikiza Hoja hii tukijua kwamba tukitekeleza usalama kama haki nyingine--- ni haki za kibinadamu kwa sababu bila usalama, mtu hawezi kufurahia haki nyingine kama haki ya maisha na haki ya milki ya ardhi na raslimali. Kwa hivyo, ni lazima tuhakikishe kwamba tumeweka msingi wa usalama. Jambo la pili ni kwamba katika kuhakikisha kwamba tumempa mtu jukumu, ni lazima jukumu lije na ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus