Isaac Maigua Mwaura

Parties & Coalitions

Born

1982

Email

mwaura.isa@gmail.com

Web

www.isaacmwaura.com/

Telephone

0721864949

Telephone

0733864949

Link

@MwauraIsaac1 on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 1601 to 1610 of 1711.

  • 19 Sep 2013 in National Assembly: Ninaunga mkono. view
  • 18 Sep 2013 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Spika. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 18 Sep 2013 in National Assembly: Waswahili wanasema “haba na haba hujaza kibaba”. Hii inamaanisha kwamba Wakenya wanapaswa kujinyima ndiyo waweze kuwa na akiba ambayo itawasaidia siku za usoni. Kama walivyosema Wabunge wenzangu, familia nyingi ziliadhirika kutokana na wizi wa fedha zilizowekwa katika benki fulani, ambazo hivi sasa hazipo. Moja ya benki hizo, ambayo ilimuadhiri mtu mmoja niliyekuwa na uhusiano wa karibu naye, inaitwa Agrarian. Kutokana na mambo kama hayo, watu wengi walipoteza imani kwa benki kwa sababu benki zilionekana kudhibitiwa na watu waliokuwa na ushawishi wa kisiasa na ambao wangeweza kuwatapeli watu wengine na kutokomea mbali. Kwa kweli, baadhi ya wale ambao waliregeshewa hela zao, ... view
  • 18 Sep 2013 in National Assembly: Ukitathmini kulingana na jinsi Serikali yetu ilivyokuwa ikikopa pesa, utaona kwamba kwa kiasi kikubwa, miaka kumi iliyopita, imekuwa ikikopa zaidi kutoka kwa soko la fedha la humu nchini. Kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha kwamba Wakenya wanaendelea kuweka hela zao kwenye benki na mashirika mengine ya kifedha ndiyo Serikali yetu iweze kupata fedha za kufanyia miradi ya maendeleo. Hivi sasa kuna tetesi kwamba zile hela ambazo zinafaa kwenda kwenye serikali za ugatuzi hazitoshi, na inabidi serikali hizo zikope ili ziweze kuwa na miundo msingi thabiti inayoweza kuwaletea Wakenya maendeleo. Kwa kweli, kuna nafasi nzuri iwapo Wakenya wataweza kuwekeza hela zao katika ... view
  • 18 Sep 2013 in National Assembly: Mhe. Spika, nikiongezea, Mswada huu utahakikisha kwamba Wakenya watakuwa wakipata riba nzuri kutoka kwa mashirika ya kifedha. Mtu akirudishiwa pesa alizowekeza peke yake, ukizingatia kupanda kwa gharama ya maisha baada ya muda fulani, utaona kwamba thamani ya pesa zilizokuwa kwenye benki inapungua. Pia nikiongezea, itakuwa rahisi, iwapo kutakuwa na jambo lolote ambalo litasababisha benki kushindwa kuwaregeshea wawekezaji pesa zao; kwa Wakenya kupata pesa walizowekeza bila kupitia changamoto nyingi kama tunavyoona masaibu yanayowakumba wazee wetu wakienda kudai malipo yao ya uzeeni. view
  • 18 Sep 2013 in National Assembly: Kwa hayo machache, ninaunga mkono. view
  • 17 Sep 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this Bill because Kenyans have really suffered because this part of the financial industry is not properly regulated. view
  • 17 Sep 2013 in National Assembly: Kenyans are suffering in the hands of people called shylocks who seem to be asking too much in terms of interest rates. In fact, the word “shylock” has even been Kenyanised or even made to appear in local languages. In my mother tongue, I hear them talking about “shylock”. view
  • 17 Sep 2013 in National Assembly: This means that our people are really suffering. Because of that we want to make sure that all those “shylocks” are not affecting our members. We know very well that under Section 36(A) of this amendment Bill, the Central Bank of Kenya (CBK) has been given powers to institute corrective measures against any microfinance institution that will not go by the straight and the narrow. I would also like to say that this may be subject to abuse because we have seen--- This House has been informed that some of these corrective measures may be informed by political considerations. We ... view
  • 17 Sep 2013 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, if you look at the various measures proposed by the Government in terms of, for example, 30 per cent procurement opportunities being offered to women, youth and persons with disabilities, you will find that these microfinance institutions will be critical in terms of generating opportunities for capital so that our marginalized members of the society are able to do business with the The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus