Issa Juma Boy

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 141 to 150 of 162.

  • 19 Jun 2018 in Senate: Sen. Oluoch Okello. view
  • 19 Jun 2018 in Senate: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Alikuwa ni Seneta mwenzetu ambaye nilionana naye wakati tulipokuwa tukiapishwa humu ndani na tukawa tumekaribiana sana. Lakini kama inavyosemwa, Mwenyezi Mungu ndiye mwenye uwezo. Mwenzetu alipigana na haya maradhi ya cancer sana, lakini Mwenyezi Mungu naye pia alichukua kiumbe chake kwa wakati huo. Kwa hivyo, kwa niaba yangu, niaba ya familia yangu na watu wa kaunti ya Kwale, natuma risala za rambirambi kwa familia ya Bw. Seneta mwenda zake, Sen. Okello. view
  • 29 Mar 2018 in Senate: Asante Bw. Spika. Ningependa kuongeza kwamba sisi Maseneta hapa tunaunga mkono kuteuliwa kwa ndugu zetu, Sen. Stewart Madzayo na Sen. (Dr.) Abdulahi Ibrahim Ali. Mimi, kama Seneta kutoka Kaunti ya Kwale, naunga mkono mswada huu. Niko na imani kwamba hawa Maseneta wenzetu watatufanyia kazi nzuri kule. Kwa hivyo naunga mkono orodha hii ambayo imeletwa katika Bunge letu la Seneti. Bw. Spika, sina mengi ya kuongeza, isipokuwa kusema kwamba naunga mkono Mswada huu. Asante sana, Bw. Spika. view
  • 27 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I do not mind that. However, I would really appreciate if it was issued next week because it is an urgent matter. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. The Statement is not ready. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, next week on Wednesday. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. The statement is not ready. Give us time until Thursday, next week. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. The statement will be ready next week on Thursday. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. The statement is not ready. We will try our best to get it ready by next week on Thursday. view
  • 22 Mar 2018 in Senate: Okay, Mr. Deputy Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus