She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.
9 Aug 2018 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion: THAT, aware that Article 43 of the Constitution provides that every person has the right to the highest attainable standard of health, which includes the right to health care services, including reproductive health care; further aware that Obstetric or Vesical Vaginal Fistula (VVF) is a devastating condition that affects women and girls across the country and which has seen many of the patients victimised, abandoned and ostracised by their communities; deeply concerned that it is estimated that more than two million women and girls live with Obstetric Fistula, and ...
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Hoja hii. Kwanza, nataka nichukue nafasi hii nimshukuru Mhe. Jessica kwa kuleta Hoja nzuri ambayo inahusu watu ambao wamedhulumiwa katika jamii.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Ni ukweli kwamba wanawake wamedhulumiwa sana. Wanatendewa unyama na wenzetu wanaume. Ukikuja katika eneo Bunge langu, tuko na Agricultural Development Corporation (ADC) ambayo inachukua watoto wetu, haswa wale ambao wanatoka katika jamii maskini. Mwishowe, badala ya kuwalipa fedha zile wamefanyia kazi, wanawadhulumu hawa watoto kimapenzi na kuwaumiza. Iwapo tutakuwa na vituo kama hivi katika nchi yetu ya Kenya, vitatusaidia kwa sababu watu ambao wameathirika watapata nafasi ya kwenda huko, waangaliwe na watibiwe.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Wiki mbili zilizopita, nilikuwa na mzee wa mtaa ambaye anafanya kazi vizuri. Kwa sababu ya wahalifu ambao wako miongoni mwetu katika sehemu hiyo ya milimani, huyu mama alidhulumiwa na wakora ambao waliingia kwa nyumba yake. Saa ingine, kwa sababu ya umri, mtu hatembei akisema kuwa amenajisiwa. Kama tutakuwa na vituo kama hivi, itakuwa ni nafasi nzuri ya mtu kwenda kueleza amedhulumiwa na mtu fulani.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Katika jamii, tuko na walemavu wa kike ambao wanadhulumiwa. Tusipokuwa na vituo kama hivi, itakuwa ni njia mbaya sana kwa sababu wengine hawawezi kutembea mpaka mahali The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
hapo. Lakini kama tuko navyo na vinajulikana kwamba viko wazi, itakuwa ni rahisi sana hata kwa mtu ambaye anataka kuokoa mlemavu. Atajua kwamba kuna kitengo fulani cha watu ambao wameathirika katika jamii. Kulingana na Katiba yetu, kila mmoja wetu ako na usawa wa maisha yake kuhakikisha kwamba analindwa kama Mkenya yeyote. Vile Mheshimiwa amesema hapa, ninaona litakuwa ni jambo nzuri sana iwapo Serikali itachukua Hoja hii na kujenga vituo hivi mara moja. Itatuokoa sisi wamama katika nchi yetu ya Kenya. Walioathiriwa wataweza kupata matibabu na usadizi mwingine.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Nashukuru sana, Mhe. Naibu Spika. Pia, nashukuru dada yangu, Mhe. Jessica kwa kuleta Hoja hii katika Bunge la Kitaifa. Naomba wenzangu pia tuungane pamoja na tumpatie support kulingana na Hoja hii.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Kwa hayo machache, nashukuru sana, Mhe. Naibu wa Spika.
view
26 Jul 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman. I beg to move: THAT, the Bill be amended by inserting the following new clause after clause 6─ 6A. Section 23 of the principal Act is amended by inserting the following subsection immediately after subsection (2) – (3) In the preparation of project lists under subsection (1), a contracting authority may reserve certain projects for disadvantaged groups.
view
26 Jul 2018 in National Assembly:
I want to bring to the attention of this House the issue of disadvantaged groups which do not have a chance in this Bill. The youth, women and people living with disabilities have not been included. Therefore, I want Members to support this as part of the Bill.
view