She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.
26 Jul 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I drop that one.
view
24 Jul 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I agree with the Chair on this amendment.
view
24 Jul 2018 in National Assembly:
Trans Nzoia CWR, JP): Hon. Temporary Deputy Chairlady, it seems as if I am lost. I want to ask the Chair to go step by step, so that I can catch up with him.
view
24 Jul 2018 in National Assembly:
It is the substance of what the Chair is presenting.
view
24 Jul 2018 in National Assembly:
Trans Nzoia CWR, JP): Yes.
view
27 Jun 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenzangu, Mhe. Muchira, kwa kuleta Hoja hii kuhusu watoto wetu ambao wamekwenda kwa huduma ya vijana, NYS. Ni kweli sisi hutoa watoto kutoka sehemu mbalimbali kuingia katika huduma hii kwa sababu tunataka pia wawe na pahali pa kukaa ama pa kufanya kazi. Vile mwenzangu amesema, wale wamehitimu wajiunge na kitengo cha usalama. Mimi ninaona hilo ni jambo muhimu sana. Sio tu kitengo cha usalama, hawa vijana wanaweza kujiunga na vitengo vingine vyovyote katika nchi yetu ya Kenya. Vile mwenzangu kutoka Isiolo amesema, ni kweli kuwa hapo awali walikuwa ...
view
27 Jun 2018 in National Assembly:
Ninaunga mkono Hoja hii na ninaomba wenzangu waiunge mkono. Asante.
view
29 Mar 2018 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nichangie mjadala huu wa kusema tusaidie vijana wetu waondolewe baadhi ya pesa zinazoongezwa wakienda kupata vyeti vyao. Namshukuru Mhe. Faith kwa kuleta Hoja ili tuichangie. Vile wenzangu wamesema, ni kweli ukitembea sehemu nyingi katika nchi yetu ya Kenya utaona kuna vijana wengi. Hawa vijana hawana kazi. Iwapo wanapewa kazi mahali, ni kweli The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
29 Mar 2018 in National Assembly:
wanaitisha baadhi ya hivi vyeti ndiposa wapewe kazi. Tuko na maskwota katika eneo langu la Trans Nzoia. Hawa maskwota wanaishi maisha ya upweke; maisha wasiyoweza kupata pesa za kulipia watoto wao mahitaji yao. Hata ikija kwa upande wa kupewa vitambulisho, utaona vijana wetu pia wanaumia. Wao husema: “Leta pesa, nenda ujitambulishe unatoka wapi.” Inanyanyasa vijana wetu katika nchi yetu ya Kenya. Ndiposa Mhe. Sakaja, katika Bunge la Kumi na Moja, alileta Mswada. Tulifikiria kwamba watatekeleza mambo yaliyokuwemo katika Mswada ule lakini hayakutekelezwa. Kwa vile Mheshimiwa ameleta huu mjadala tena, nina imani utatekelezwa vilivyo. Nataka nigusie Huduma ya Vijana kwa Taifa. ...
view