Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 247.

  • 29 Mar 2018 in National Assembly: Nashukuru sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 21 Mar 2018 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 21 Mar 2018 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker, I wanted to catch your eye. view
  • 14 Feb 2018 in National Assembly: Asante sana Mhe Spika. Mimi pia nimesimama kuwaunga mkono hawa wenzetu ambao wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali. Kwanza ninakushukuru wewe na kamati ya uteuzi kwa kuwahoji hawa Mawaziri katika sehemu mbalimbali kuhakikisha kwamba wanachukua kazi zao katika ofisi zao. Ninawashukuru wanakamati kwa sababu nilikuwa nafuatilia wakiuliza maswali moja kwa moja kuhusiana na Mawaziri katika sehemu zao. Nilikuwa na furaha mno kwa sababu mlikuwa mnatuwakilisha sisi kama Wabunge. Kile nilifurahia mno ni kwamba mlikuwa mnawauliza mambo ya ufisadi katika nchi yetu ya Kenya. “Iwapo mtachukua ofisi zenu, kuhusu ufisadi mtasema vipi?” Tena kile nilifurahia ni nidhamu. Kuna wengi wanapewa ofisi. Hata tukiwa ... view
  • 14 Feb 2018 in National Assembly: kiranja wa Bunge hili ndugu Washiali anatoka upande wa magharibi. Spika katika Seneti anatoka upande wa magharibi. Hivi juzi, kamati ya uteuzi pia imechukua ndugu yetu Rashid kutoka upande wa magharibi. Iwapo watu wa magharibi wananiskia, wale wanaotoka Upinzani – na wako hapa sasa hivi, na wale walio nje – ninataka niwaambie kwamba sisi tumetunukiwa heshima na Rais pamoja na naibu wake kwa kutupatia nafasi katika Bunge hili na Mawaziri katika Kenya yetu. Nilikuwa nikifuatilia kuona Mawaziri watakaoteuliwa, na haswa akina mama. Mumemuona Dr. Monica Juma, ambaye alijibu maswali ana kwa ana na kueleza kazi ambayo amefanya katika nchi yetu ... view
  • 14 Dec 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also join the rest of my colleagues to congratulate those who have been elected to EALA. We have got a good team that will defend our country in EALA. We have got a good team that is going to defend our country in the EALA. Recently, we were in Tanzania because of sports. Members of the EALA from other member states asked when we would elect our representatives, because we have really delayed to give the names to EALA. view
  • 14 Dec 2017 in National Assembly: I also want to take this opportunity to send a message to drivers in this country because we have been having a lot of accidents every now and them. I ask them to take care because they are not carrying cabbages, as the President said. They are carrying people and so they should be very careful. I wish my colleagues a Merry Christmas and a Happy New Year. I know very well that when we go home we will bring peace and reconciliation among ourselves because we have been facing a lot of challenges since the end of the general ... view
  • 14 Dec 2017 in National Assembly: I also take this opportunity to say Merry Christmas to you, Hon. Temporary Deputy Speaker, and to the people you represent. Thank you. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 29 Nov 2017 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika Naibu wa Muda. Ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenzangu, Mhe. Melly, kwa kunipa nafasi hii kuchangia Hoja hii. Kabla ya hiyo, ningependa kutoa nafasi hii kumshukuru Rais pamoja na Naibu wake kwa kupatiwa nafasi kuongoza kwa muhula wa pili. Ningependa kuchangia Hoja hii kwa sababu ya barabara zetu. Nashukuru ndugu yangu, Mhe. Melly, kwa kufikiria kuwepo kwa barabara za magari ya dharura ili kuwasaidia watu wetu. Ukija Trans Nzoia County, utaona kwamba barabara kule mashinani si nzuri. Kuna magari, tractor s na pikipiki ambazo zinatumia barabara hizo. Ningependa kuunga mkono nikisema kuwa tunafaa kuwa na Mswada kuhusu ... view
  • 13 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. Mimi pia ningependa kuchukua nafasi hii kwanza kutoa shukrani kubwa sana kwa kuchaguliwa tena kuwa Spika wetu kwa mara ya pili. Pia, nachukua nafasi hii kuwashukuru wenzangu wale wamechaguliwa katika Bunge la Kitaifa. Tena, nachukua nafasi hii kuwashukuru watu wangu wa Trans Nzoia County kwa kunipa nafasi tena kwa muhula wa pili kuwahudumia kama mama wa kaunti. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus