Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 141 to 150 of 247.

  • 13 Sep 2017 in National Assembly: Nataka kuchangia Hotuba ya Mhe. Rais. Nashukuru sana kwa sababu kama angekuwa mwingine, hangepata nafasi ya kusimama mbele yetu na kutoa hotuba ile alitoa jana. Kwanza, Mhe. Rais alisema lazima tukuwe na amani katika nchi yetu ya Kenya ndiposa tutoe uhasama miongoni mwa wananchi. Pia, aliongea kuhusu usalama katika nchi yetu ya Kenya kwa sababu tusipokuwa na usalama katika nchi yetu, maisha yetu na wananchi haitakuwa sambamba. Licha ya kukumbwa na yale yalimpata hivi juzi, mimi ninajua sisi wengine katika chama chetu cha Jubilee kutoka sehemu za Western tulimchagua. Licha ya mahakama kutoa uamuzi, sisi tuko tayari tena kwenda mashinani ... view
  • 13 Sep 2017 in National Assembly: Nataka nishukuru kwa sababu vile tumekuwa na Rais wetu, sisi kina mama kutoka kwa kaunti zetu hapo awali hatukukua na pesa. Lakini saa hii pesa zile tumepewa kutoka kwa hazina ya Affirmative Action zimetusaidia kufikia kina mama kule mashinani na mnaona kwamba viongozi kina mama wamechaguliwa kutoka kwa kaunti zetu kama Seneti na hata katika Bunge la Kitaifa. Unaona kwamba wamama wamepewa kipao mbele kuonyeshwa kwamba hao pia wako sambamba katika nchi yetu ya Kenya kwa sababu maslahi ile tunahudumia wananchi ni sawa na hawa Wabunge wengine. Nasihi wamama wenzetu walioko hapa, tushikane na haswa kutoka kwa mrengo wa Jubilee ... view
  • 13 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante Mhe. Spika kwa kazi yako nzuri ya kutuendeleza sisi kama Wabunge. Ahsanteni sana. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. This Bill is very important and I want my colleagues to support it so that we can move forward. I am worried about the Cabinet Secretary--- view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: Clause 35. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: That is the one I am supporting. It will enable us to have the Board in place and have an authorised person to harmonise what is there. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I want to support the Chair because the amendment is straightforward. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: I support the Chairman because three years is the norm. view
  • 5 Apr 2017 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii angalau pia nichangie Mswada huu unaonuia kuzuia visa vya udanganyifu wa mitihani katika nchi yetu. Wenzangu wameongea kuhusu changamoto ambazo watoto wetu hupitia na pia, shida ambazo watangulizi wetu walizipitia hapo awali. Ni kweli vile wenzangu wamechangia. Kuna wengine wametoka katika maisha duni ama wamesoma kwa shule ambazo hazijajengwa vizuri katika maeneo yao. Mhe. Moroto amesema kwamba ukiona West Pokot mahali anatoka, wanafunzi walikuwa wakisomea chini ya miti. Sasa unaona katika maisha kama haya, wengine wakifika wakati wa kufanya mitihani yao halafu mwishowe isemekane kwamba mitihani imefutiliwa mbali, hiyo ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus