She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.
5 Apr 2017 in National Assembly:
huwa tunapinga sana katika nchi yetu kwa sababu yanatuletea madhara. Unapata mtu amehitimu lakini ukimpa kazi afanye, hafanyi kwa njia sawa kwa sababu hakutumia njia mwafaka ya kuhakikisha kwamba anafika penye amefika. Ninataka kuunga mkono Mhe. Agoi kwa kuleta huu Mswada katika Bunge hili, wa kuhakikisha kwamba tuko na jopo kazi la kuhakikisha kwamba kuna usawa. Iwapo kutakuwa na matatizo ama iwapo tutakuwa na mambo yale yasioeleweka katika nafasi ya mtu kuhitimu ama ya kupewa cheti chake – tunafahamu yaliyompata Mhe. Joho - hilo jopo kazi litasaidia wananchi ambao hawana nafasi ya kujitetea. Tena, ni aibu kubwa sana kwa sababu ...
view
22 Mar 2017 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii nichangie Hotuba ya Mhe. Rais. Kwanza, ningependa kumshukuru Mhe. Rais kwa ajili ya kazi ambayo amefanya katika nchi yetu ya Kenya, haswa kuleta umoja kwa Wakenya. Mhe. Rais aliongea kuhusu mambo ya elimu katika nchi yetu ya Kenya. Mwenzangu mmoja amesema kwamba watoto wetu wakihitimu, wengine hawapati kazi. Katika darasa la nane na kidato cha nne, watoto wanafanya mitihani bila kulipa kitu chochote. Kuna watoto wengine wakifika katika kidato cha nne huwa hawahitimu kujiunga na vyuo vikuu. Mhe. Rais aliongea vizuri sana kuhusu jambo hili. Tuna macho na tumeona ...
view
22 Mar 2017 in National Assembly:
Bunge hili na Rais lakini hawakujaribu kufikia kiwango kile Mhe. Rais amefikia kwa miaka mitano. Heko kwa Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. Mhe. Rais hakukosea kuzungumza kuhusu changamoto. Changamoto zinatokana na ufisadi katika nchi yetu. Tukumbuke kwamba si Rais analeta ufisadi bali baadhi ya wanaoshikilia ofisi kuu. Katika Bunge hili, mtu akishikwa kuwa mfisadi, watu wanaibadilisha inakuwa ni ukabila. Wanasema huyu ni wangu ameshikwa, huyu ni wangu anaonewa. Rais akisema mshukiwa huyo anatakikana afanywe hivi, mtu mwingine anasema hapana. Huyu anatoka upande wangu, yaani upande wa Upinzani au wa Serikali. Mfisadi ni mfisadi, hata awe ndani ya kanisa ama ndani ya ...
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. This Bill is very important and I want my colleagues to support it so that we can move forward. I am worried about the Cabinet Secretary---
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
That is the one I am supporting. It will enable us to have the Board in place and have an authorised person to harmonise what is there.
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I want to support the Chair because the amendment is straightforward.
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
I support the Chairman because three years is the norm.
view
5 Mar 2017 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii angalau pia nichangie Mswada huu unaonuia kuzuia visa vya udanganyifu wa mitihani katika nchi yetu. Wenzangu wameongea kuhusu changamoto ambazo watoto wetu hupitia na pia, shida ambazo watangulizi wetu walizipitia hapo awali. Ni kweli vile wenzangu wamechangia. Kuna wengine wametoka katika maisha duni ama wamesoma kwa shule ambazo hazijajengwa vizuri katika maeneo yao. Mhe. Moroto amesema kwamba ukiona West Pokot mahali anatoka, wanafunzi walikuwa wakisomea chini ya miti. Sasa unaona katika maisha kama haya, wengine wakifika wakati wa kufanya mitihani yao halafu mwishowe isemekane kwamba mitihani imefutiliwa mbali, hiyo ...
view