Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 181 to 190 of 247.

  • 21 Apr 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I support this amendment. The culture of our people in Kenya is not to believe in women. In fact, some of our colleagues who are talking here have their wives at home. These wives can also become Members and they can be supported through this money. Thank you. view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii kuchangia mjadala huu ambao umeletwa na dadangu, Mhe. Gladys Wanga. Hoja hii imekuja wakati mzuri sana kwa sababu katika eneo langu la Trans Nzoia, watu wanaumia kwa ajili ya ugonjwa wa saratani. Wiki mbili zilizopita, nilimpoteza mtoto Purity. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Mwenzangu ambaye aliwania kiti katika eneo la Endebes, Jenipher Masis, pia ameathirika na ugonjwa huo wa saratani. Tunapojadiliana katika Bunge hili, lazima tuhakikishe kwamba Serikali imetekeleza kulingana na vile sisi viongozi tunataka katika Bunge hili. Tunaweza kuongea hapa na baada ya kuongea, hakuna kitu chochote kinachotendeka. Najua kwamba Serikali imesikia na itahakikisha kwamba imetilia maanani maoni yetu na inatekeleza maneno haya ya saratani katika nchi yetu ya Kenya. Namshukuru dadangu, Mhe. Wanga, kwa sababu watu wanalia katika nchi yetu ya Kenya, hasa akina mama ambao wanakatwa matiti yao wakiwa bado wangali wachanga. Hawawezi kuwanyonyesha watoto wao kwa ajili ya ugonjwa ... view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ningependa kusema kuwa namuunga mkono Mheshimiwa Chris Wamalwa kwa kuleta Hoja hii katika Bunge hili. Watoto wengi katika yale maeneo tumetoka--- view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, tulikuwa tunazungumza kuhusu vitambulisho. Namshukuru Mheshimiwa Chris Wamalwa kwa sababu watoto kutoka eneo letu, haswa la Trans Nzoia, wako na shida sana. Tumeongea kuhusu mambo ya walemavu. Hao walemavu pia hawapati nafasi ya kupata vitambulisho. Tukiwa na ofisi kule mashinani, itatusaidia sana ili watu wapate vitambulisho kwa muda unaofaa. Tuna pesa ambazo tumepewa kama akina mama. Akina mama wenzetu hawapati pesa hizo kwa sababu hawana vitambulisho. Vitambulisho vikipeanwa kule mashinani, vitawezesha watu hao kupata nafasi na pia kula “keki” ya nchi hii. view
  • 3 Mar 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I support the Chairperson of the Committee because of the seven-day notice. I urge my brother from Kibra to support the Committee. view
  • 3 Mar 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Mimi pia ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu ni wa maana sana, haswa kwa sehemu yangu ya Trans Nzoia. Tumekuwa na shida kwa sababu ya maskuota katika eneo hili. Vile mwenzangu amesema, tunao watu wanaosema kwamba mzazi wangu alizikwa hapa na hakuna ukweli kwamba hilo shamba linahusu mzazi wake au jamii yake. Kuna watu wengi ambao wanapata taabu katika nchi yetu ya Kenya. Mwenzangu Mhe. Wesley alipoongea jana, alitaja kwamba kuna shida katika Cherangany, eneo la Trans Nzoia. Watu wanakaa mahali ambapo walipelekwa na viongozi waliotaka kupita uchaguzi. Baada ya kupita, wanawaacha hapo wakiwa hawana ... view
  • 12 Nov 2015 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono Mswada huu. Ninashangaa sana wakati Mheshimiwa mwenzangu anapowambia Wakenya kwamba utamaduni si kitu cha kudumu. Hali katika redio zetu kuna ratiba mbalimbali kama Sulwe FM, Inooro FM na West FM katika nchi ya Kenya. Inamaanisha nini? Lazima turudi nyumbani na tujifunze maadili na utamaduni wa nchi yetu ya Kenya. Hapo awali mama akiwa mjamzito, alikuwa na yale mavazi ya heshima anayovaa. Si kama siku hizi mama anaweza kuwa mjamzito na anavaa suruali ndefu ama kaptula, kuonyesha kwamba sisi tumepoteza utamaduni wetu. Kwa upande wa chakula, tulikuwa na mboga za kienyeji, ... view
  • 12 Nov 2015 in National Assembly: anachukua mrija anapatia mwingine na anatoka nje. Anapeana heshima. Wakati huu ninaona watu rika yetu wanakula na kukaa pamoja na watoto wetu, ama unaona mtoto akirukia kitanda cha baba ama mama yake. Ninaunga mkono tuwe na huu utamaduni ili tujifahamishe mahali ambapo tumetoka. Ninajua Serikali yetu itahakikisha kwamba kuna mahali ambapo tutakuwa tunafanyia utamaduni wetu. Ninashukuru kwa sababu katika Trans-Nzoia County, nimetembelea sehemu ya ndugu yangu Mheshimiwa Fedinard K. Wanyonyi na kuona kwamba jamii tofauti tofauti wametenga siku ya ukumbusho wa tamaduni zao. Wanapika chakula chao cha kitamaduni na kuvaa mavazi kujikumbusha walikotoka. Jambo hili ni bora sana. Mwaka uliopita ... view
  • 14 Oct 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I also want to support the amendment. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus