Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 247.

  • 7 Oct 2015 in National Assembly: Can I use Hon. Chanzu’s microphone? view
  • 7 Oct 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I want to support the inclusion of the word “Kenyan” as expressed by my brother here. It is true many people are suffering out there because they do not know their identity. When we include the word “Kenyan”, it will be good for us. As the County Women Representatives (CWR), we also have the affirmative action which is also going to benefit our youth and women. I support. view
  • 26 Aug 2015 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa hii nafasi. Nataka kujiunga na wenzangu kwa ajili ya Mswada huu. Ningependa kumshukuru Mhe. Keynan kwa ajili ya Mswada huu. Hapo awali, tulikuwa na Wabunge katika Bunge hili na niliona kwamba kuna wengi ambao walikuwa wanasumbuliwa sana, haswa, na mambo ya korti. Nakumbuka tulikuwa na Mbunge kutoka kule Saboti, Mhe. Davis Nakitare, ambaye kule nje, hangepata nafasi ya kukaa vizuri kwa sababu korti ilikuwa inamsumbua sana. Kwa sababu yeye mwenyewe hangeweza kujisimamia, ilimbidi atafute wale ambao walimpigia kura wamsimamie katika korti. Naunga mkono Mswada huu kwa ajili utatupa sisi mamlaka ya ... view
  • 18 Jun 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I just want to support Hon. Chris Wamalwa on the Petition. It is true that the people from Trans-Nzoia County and, especially, those in Mabonde Location are in trouble. That is because they had asked for a chief and an assistant chief from their area. Last time we had the same problem. Therefore, what Hon. Wakhungu has said, on behalf of the Petitioners, is true. The Chief who has been appointed does not hail from Mabonde area. The residents of that location are crying, so that this House can assist them. The electronic version ... view
  • 18 Jun 2015 in National Assembly: We have been having a lot of problems in Trans-Nzoia County. With regard to boundaries, they were given to certain areas. They dealt with the community from that area. Trans-Nzoia County is a cosmopolitan place and we should balance all the tribes that are found there. view
  • 18 Jun 2015 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, we need your direction on this issue, so that the residents of Mabonde can enjoy the fruits of this country. view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana. Mimi pia nataka kuchukua fursa hii kumushukuru dada yangu Mheshimiwa Joyce Lay kwa ajili ya Hoja hii. Tunapotafsiri Katiba yetu katika lugha ya Kiswahili itatupa nafasi nzuri ya kuelimisha watu wetu, hasa kuhusu mambo ya ndoa na jinsia katika nchi yetu ya Kenya. Vile wenzangu wamesema, hata mkiwaona vijana wetu wanaoendesha pikipiki ama bodaboda unajua hawaelewi Katiba yetu. Itakuwa ni vyema kuona kwamba Katiba yetu imetafsiriwa katika lugha ya Kiswahili na hiyo itatupa nafasi nzuri sana. Ninamshukuru dada yangu, Mheshimiwa Joyce Lay kwa kuleta Hoja kama hii katika Bunge. Ahsante sana. view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana. Mimi pia nataka kuchukua fursa hii kumushukuru dada yangu Mheshimiwa Joyce Lay kwa ajili ya Hoja hii. Tunapotafsiri Katiba yetu katika lugha ya Kiswahili itatupa nafasi nzuri ya kuelimisha watu wetu, hasa kuhusu mambo ya ndoa na jinsia katika nchi yetu ya Kenya. Vile wenzangu wamesema, hata mkiwaona vijana wetu wanaoendesha pikipiki ama bodaboda unajua hawaelewi Katiba yetu. Itakuwa ni vyema kuona kwamba Katiba yetu imetafsiriwa katika lugha ya Kiswahili na hiyo itatupa nafasi nzuri sana. Ninamshukuru dada yangu, Mheshimiwa Joyce Lay kwa kuleta Hoja kama hii katika Bunge. Ahsante sana. view
  • 2 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Chairman. I also want to support the amendment by hon. Eseli. A period of 12 months is not good. view
  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Mimi pia ningependa kuchukua nafasi hii nimshukuru Rais kwa Hotuba yake na yale aliyotupatia wiki iliyopita. Nilifurahishwa sana na mambo; Rais alisema kwamba hatutalipa pesa za mtihani wa kidato cha nne na pia darasa la nane. Hiyo ilinifurahisha sana kwa sababu kuna watoto wengi ambao wameishi katika maisha magumu, ama wanaishi katika maisha yasiyo sawa na hawangeweza kulipa pesa za mtihani. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus