Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 211 to 220 of 247.

  • 30 Jul 2014 in National Assembly: Hon. Speaker, I wish to request a Statement from the Chairperson of the Committee on Administration and National Security regarding the alleged dismissal of the police officers attached to the Rapid Deployment Unit of the Administration Police Service. view
  • 30 Jul 2014 in National Assembly: It is okay, hon. Speaker. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Pia, ninamshukuru dada yangu kwa sababu ya mjadala huu ambao umeletwa wakati unaofaa. Kama viongozi, tumeona changamoto ambazo baadhi ya watu walemavu au vipofu wanapata. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Ningependa kumuunga mkono kwa sababu amesema kwamba inafaa Serikali iweke mikakati yakutosha katika vyuo na shule zetu ili walemavu au vipofu wapate haki zao katika nchi yetu ya Kenya. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Katika Kaunti ya Trans Nzoia, kuna baadhi ya watu ambao ni walemavu hasa katika eneo la uwakilishi Bunge la Kiminini na eneo la uwakilishi Bunge la Mhe. F.K. Wanyonyi. Tunayo hii shida. Mswada huu ukipitishwa utahakikisha kwamba walemavu au vipofu wanapata haki zao. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Pia, ningependa kuwaomba wenzangu ambao wana pesa za CDF wahakikishe kwamba wanatumia hizo pesa kujenga madarasa ambayo walemavu watasomea. Ninamshukuru dada yangu, Mhe. Muia, kwa kusema kwamba inafaa televisheni zetu zipeane nafasi au watafute wakaguzi ambao wanaweza kuonyesha vipofu au visiwi miradi ambayo inaendelea katika nchi yetu au yale tunayoongea. Itakua vizuri sana kama jambo hili litatekelezwa. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Inafaa magari ambayo walemavu wanatumia yawe maalum ili waweze kusafiri vizuri. view
  • 18 Jun 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaunga mkono Mswada huu. Ahsante. view
  • 25 Feb 2014 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I also rise to support the amendments and to thank His Excellency the President for the Memorandum. view
  • 25 Feb 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this Motion. Of the two nominees, I know Lonah Mumelo because I used to work with her husband at Telkom Kenya. Having heard from my colleagues about what Dr. Ali has done for this Parliament, I think these are the best nominees to work as Commissioners of Parliamentary Service Commission (PSC). From what I have heard from my sister, hon. Gladys Wanga, and the way she has expressed it, I think these are the best people. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus