9 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
2 Mar 2022 in Senate:
Asante Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Ardhilhali hii. Mambo ya walimu wa chekechea imekuwa donda sugu kwa sababu kulipwa mishahara kwao imeakuwa kama jambo ambalo halijawekwa katika daftari zetu. Inakuwa jambo ambalo linafanywa kiholela. Ukitembea sehemu nyingi humu nchini, walimu hawa wa shule za chekechea hawashugulikiwi kwa lolote na hawalipwi mshahara yao kwa nyakati zinazofaa. Isitoshe, wanapokea hela kidogo sana ambazo haziwezi kuwatosha kujikimu kimaisha ilhali tunawategemea zaidi kwa sababu ya wale wanafunzi wa chekechea. Walimu wa chekechea wamepewa jukumu nyeti katika maisha ya watoto wetu lakini Serikali yetu hailipi chochote. Walimu hao wamekuwa wakisumbuka ...
view
2 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
2 Mar 2022 in Senate:
kwa sababu wamefanya tufike hapa na wanaendelea kukuza mambo ya elimu kutoka pale chini kabla kufikia CBC. Asante sana, Bi Naibu Spika.
view
2 Mar 2022 in Senate:
Let us now listen to Sen.Wario.
view
2 Mar 2022 in Senate:
Thank you, Sen. Wario. We commit that Statement to the Committee on Tourism, Trade and Industrialization. ( The Statement was committed to the Committee
view
2 Mar 2022 in Senate:
Next Statement by Sen. Kasanga.
view
2 Mar 2022 in Senate:
Asante, Sen. Wario. Nimesikia ukiwaita Wazembe. Nilidhani utasema kwamba ni wagonjwa kwa sababu hawafanyi kazi yoyote bali wanategemea wengine. Sen. Cherargei, do you want to request a Statement or comment?
view
2 Mar 2022 in Senate:
Thank you, Sen. Cherargei. Stop blowing your trumpet, let somebody else do it for you. The Statement stands committed to the Committee on Health.
view
2 Mar 2022 in Senate:
Next Statement is by Sen. Cherargei.
view