John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1731 to 1740 of 2259.

  • 3 Jun 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kuanzia mwanzo, nataka kusema ya kwamba naunga mkono mji wa Nakuru ufanywe jiji kwa sababu mimi nilikua mwenyekiti wa Standing Committee on Devolution and Intergovernmental Relations,Kamati ambayo tulishughulikia maswala haya kwa mapana na marefu. Ukweli usemwe; nataka kumshukuru Sen. Kihika kwa sababu alijifunga kibwebwe na akasema ni mpaka tuangalie haya maswala kwa kindani kulingana na sheria iliyo katika Katiba yetu. Katiba ya Kenya inasema kwamba kulingana na mambo ambayo yanapaswa kufuatiliwa, Nakuru imeweza kujikimu kikatiba na kwa hivyo hatuna lolote ila kuifanya iwe Jiji. Bw. Spika, ukizingatia idadi ya watu, jiji inapaswa kuwa ... view
  • 3 Jun 2021 in Senate: Ukiangalia mambo ya usafi wa mazingira, nilipigwa na butwaa kuliposemwa kwamba Nakuru hawajazingatia hayo. Niliopotemebea kule, niliona kwamba kiyesi chochote kinachopelekwa upande wa chini kinatumika kutengeneza makaa. Tulitembea huko na Sen. Nyamunga na marehemu Sen. (Dr.) Kabaka, Mungu amlaze pahali pema peponi. Tulinunua makaa hiyo na kujionea kuwa inafanya kazi safi kabisa. Serikali ya Kaunti ya Nakuru inafanya kazi nzuri katika kuhifadhi mazingira. Tulitembea mahali panaitwa Gioto kule Kiamburu kunakokusanywa takataka, Tuliona kwamba wanafanya tulivyowashauri katika kumudu takataka zao. Takataka zilikuwa zimekusanywa vizuri na tayari walikua wanatumia ile ardhi kupanda miti. Bw. Spika, kwa upande wa afya, tulitembelea hospitali moja ... view
  • 3 Jun 2021 in Senate: Ninakashifu kitendo kile kwa sababu hio ni dhuluma kwa binadamu, na haikubaliki popote. Lakini, hicho kisikue kisingizio cha kufanya Nakuru kutokuwa jiji. Tunapinga jambo lile. Tukio kama hiyo haifai kufanyika katika kaunti yoyote. Tukio kama hilo pia lilitendeka katika kaunti ya Uasin Gishu. Tunapinga vikali mambo kama hayo. Nilipokua na manufaa, nilikua Mwenyekiti, lakini kwa sasa ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu mimi nashikilia yale mambo tulifanya. Tulifanya mambo yale kwa uhuru view
  • 3 Jun 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 3 Jun 2021 in Senate: na uwazi. Nakuru ikiinuliwa kuwa jiji hata watu wa Nyahururu, Meru, Ol Kalou na wengine wote waliopakana na Kaunti ya Nakuru watapata kazi. Mimi nina uhakika na imani kwamba Nakuru ikiinuliwa kuwa jiji mambo yatafanywa vizuri. Ninashukuru Sen. Kihika kwa kunikumbusha leo asubuhi kwamba nisisahau kuja kuunga mkono hoja hii. Aliniambia kwamba iwapo nitakosa kuunga mkono hoja hii itakuwa dhambi na laana kwangu. Bw. Spika, ninaunga mkono hoja hii inayopendekeza kuinua Nakuru kuwa jiji. Asante. view
  • 2 Jun 2021 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. From the onset, I support this Bill by my colleague Sen. Mwaruma. The issue of wildlife-human conflict has been there in Laikipia for a long time. From the time I was in primary school, Hon. G.G. Kariuki, the then Member of Parliament was talking about this issue of animals attacking human beings as well as destroying crops. If you would allow me to give some of the statistics from Laikipia so that you can see the weight of this matter. I heard Sen. Mutula Kilonzo Jnr., saying that we have corridors in Laikipia. He insinuated ... view
  • 2 Jun 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 2 Jun 2021 in Senate: In Laikipia, we lose one to two persons every month from the attack of elephants and hyenas. We experience crop destruction to a tune of millions of shillings. If you allow me, I can state some of the issues we go through. In 2017, a marauding elephant attacked and injured Jerica Nasusui in Kwaruaho village in Rumuruti ward. The same was reported to Kenya Wildlife Service (KWS) but there has been no feedback since 2017. On 5th February, 2019. A 12 years old pupil of Mwereri Primary School was mauled by a hyena to bones at his home area in ... view
  • 2 Jun 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 2 Jun 2021 in Senate: 455 from human injuries, 5,073 from crop damages, 3,012 from livestock predations and 33 from property destruction. None of those have been compensated. I am talking about cases that have been reported to the Ministerial Wildlife Conversation and Compensation Committee and nothing has been done. Madam Temporary Speaker, Sen. Wetangula and Sen. Mutula Kilonzo Jnr., I am saying that because they are lawyers, will tell you tort law and common law on negligence; trespass and strict liability requires that a person who keeps an animal that causes injury to the neighbours must be held liable. The people who own these ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus