John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1891 to 1900 of 1910.

  • 15 Feb 2018 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I am a bit confused. Is it the Standing Committee on Devolved Government and Intergovernmental Relations or the Standing Committee on Finance and Budget? view
  • 14 Feb 2018 in Senate: Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa ya kuchangia Mswada huu. Ukweli wa mambo ni kwamba, neno harambee inajulikana vizuri. Maana yake ni tuvute pamoja. Kwa hivyo, hatuna haja ya kupoteza wakati kuhusu maana yake. Hata ukimuuliza mwanafunzi wa Kidato cha Pili, ana jua harambee inamaanisha tuvute pamoja. Sisi katika kikao hiki tuketi kuzungumza juu ya neno harambee tutakuwa tunapoteza wakati wetu. Hata tukitenga pesa zozote ili tujue chanzo cha neno harambee, kwangu mimi naona ni kupoteza muda. Na itakuwa ni kosa au dhambi na laana kwa Wakenya wa nchi hii kuona tunajihusisha na mambo ambayo tuna jawabu kutokana na ... view
  • 14 Feb 2018 in Senate: Hoja ya nidhamu Bw. Speaker. view
  • 14 Feb 2018 in Senate: Ahsante Bw. Spika. Ni kweli asemavyo Sen. Faki na nakubaliana naye. Lakini unavyojua, mahali azaliwapo mtu huwa kuna shida ya maharaja na shida hii inakubalika. Kwa hivyo, ningependa kumkosoa kidogo kwa sababu shida ya maharaja hutokana na mahali anakotoka mtu, malezi yake na mwalimu aliyemfunza Ahsante. view
  • 29 Nov 2017 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity. From the outset, I rise to support this Motion. This is because it has come at the right time. Having come from Laikipia, which is a semi-arid area, I would urge that this Act is passed and implemented so that we stop being reactive and become proactive. That is so because if you go to many parts of Laikipia for example, you will realise that the conflicts that have come about are because of drought. You will find pastoralists and small scale farmers are fighting because of a resource, ... view
  • 7 Nov 2017 in Senate: Madam Temporary Speaker, I was born in Mutara Ranch and I can tell you who neighbours the ADC Farm. It is on my extreme north and it is owned by somebody called George Kithuko. We also have Kihika Farm which neighbours--- view
  • 11 Oct 2017 in Senate: Bw. Spika, nasimama kuunga mkono Mswada huu. Wakati huu ndiyo mzuri zaidi wa kufanyia sheria hii mabadiliko. Hii ni kwa sababu inajulikana wazi kwamba sheria inatengenezwa wakati mwingi kukiwa na vurugu na vita. Ni vizuri tutengeneze sheria hii wakati huu. Kuna ndugu zetu ambao wanatembea wakisema ya kwamba hakutakuwa na uchaguzi bila mabadiliko ya sheria. Mabadiliko ya sheria hayawezi kufanywa katika maandamano kule Uhuru Park au sehemu zingine zozote isipokuwa hapa katika Bunge ambako tunatunga sheria. Tumekuwa tukiwasikiliza hawa ndugu zetu wa upinzani wakisema maneno mengi. Ijulikane wazi kwamba uvumilivu wetu si uwoga. Sisi ni watu ambao tunapenda sheria na ... view
  • 10 Oct 2017 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity. I beg to support this Petition and we should seriously work on it. This is because the area that I come from, Laikipia County, this is the biggest problem that we have; human-wildlife conflict. For instance, if you go to a place called Kinamba, we hardly plant any crops because we neighbour big ranches which have a lot of elephants. After we plant, it is the elephants which come to harvest the crops and yet we cannot milk the elephants. That is our big problem. Whenever we seek compensation, we ... view
  • 10 Oct 2017 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise to support this Motion. Sen. Mwaura did a very good thing to bring this Motion. However, I want to find out whether this 15 per cent is the correct figure of Persons living with Disabilities (PWDs). This is because many of the PWDs are normally hidden; so, we may not have the correct figures. view
  • 28 Sep 2017 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Ninaunga mkono Hoja hii. Waliochaguliwa kuhudumu katika hili jopo ni Maseneta walio na umaarufu na uzoefu wa kazi. Sen. Fatuma Adan Dullo, Sen. Wamatangi, Sen. Sakaja, Sen. Naomi na Sen. Cheruiyot wana uzoefu na kwa hivyo itawezekana. Pili, kazi ya Bunge ni kutunga sheria. Hakuna wakati utakaosemwa ni mzuri au mbaya. Wakati wowote ni wa kutunga sheria. Hiyo ndiyo kazi yetu. Kazi yetu ni kutunga sheria. Huwezi ukasema wakati fulani ni mzuri wa kutunga sheria. Sheria yoyote ambayo inaonekana kuwa na upungufu inapaswa kutengenezwa wakati unaofaa. Hii inatupa fursa njema, hasa kwa wale wanaonung’unika ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus