17 Oct 2019 in Senate:
Asante, Bw. Naibu wa Spika. Huo uamuzi ni wa weledi, stadi na ambao umefanywa kwa uangalifu mwingi. Utaleta afueni kwa watu wa Kaunti ya Taita/Taveta. Watajivunia kwa sababu wanategemea Bunge la Seneti kutatutua shida zao. Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi, tumekuwa na mgogoro wa hapa na pale. Nina hakika kuwa wewe ndiwe ulikuwa tegemeo lao na uamuzi uliofanya utakuwa wa manufaa yao na Kenya kwa jumla.
view
17 Oct 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is a point of order.
view
17 Oct 2019 in Senate:
I was just wondering whether he is casting aspersion on the Chair---
view
16 Oct 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I am standing to read a Petition on behalf of the people of Laikipia County. I, the UNDERSIGNED on behalf of the residents of Laikipia County, draw the attention of the House to the following:- THAT, the residents of Laikipia County, Laikipia West Constituency, have existed peacefully in minimal cases of insecurity. THAT, in the recent past, groups of armed bandits have emerged, terrorizing residents of Wangwachi, Ol-moran Ward, Kamwenje, Lubere and Eighteen in Githiga Ward. THAT, these bandits have continued to rain havoc in many parts of the vast Laikipia County with unabated ...
view
15 Oct 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
15 Oct 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, the last time I checked, we do not have provincial commissioners but regional commissioners.
view
15 Oct 2019 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, ninashuku kwa nini Mwenyekiti wa County Public Accounts and Investment Committee amekuwa akipokea barua ambazo zinapaswa kuwa zikichukuliwa na Seneti? Ninasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo inabuni Kamati ya kumtimua gavana. Ninakubaliana na Hoja hii kwa sababu Maseneta ambao---
view
15 Oct 2019 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu Maseneta ambao wameteuliwa kwa Kamati hii wanauzoefu na ujuzi. Kwa hivyo, watafuatilia mambo haya kwa marefu na mapana. Kamati ya Ugatuzi imekuwa ikifuatilia mambo ya Taita Taveta. Lakini hilo silo jambo ambalo linashughulikiwa hapa leo. Wakati utakapofika, tutaeleza kinagaubaga hili yale ambayo yamekuwa yakiendelea pale yaeleweke vizuri.
view
9 Oct 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
9 Oct 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I am shocked that the Senator is trying to insinuate that hairdressers are not important people in this society.
view