17 Jul 2019 in Senate:
Bw. Spika, nimesikia Seneta mwenzangu akisema kidato cha kumi. Mahali ambapo mimi nilisomea hapakuwa na kidato cha kumi. Hata hivyo, katika nchi hii ya Kenya, hakuna kidato cha kumi. Nadhani alimaanisha kidato cha pili ama FormTwo. Asante, Bw. Spika.
view
17 Jul 2019 in Senate:
Bw. Spika, nakubaliana na Sen. Olekina alivyosema kwamba asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na ulimwengu; na amesema vizuri. Lakini anatukanganya kwa sababu amesema leo amekuja kuchangia; itakuwa ni vigumu kwetu sisi ambao tumekuja hapa kumfunza, tutakuwa na shida kubwa kumfunza siku ya leo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
17 Jul 2019 in Senate:
Nataka kusema amefanya vizuri lakini kusema “ikiwa kuna dhuluma”--- Anapaswa kutohoa jina “dhulma” vizuri ndio liweze kueleweka na wale wote ambao wanaelewa ile lugha. Itakuwa ni jambo la kuwakejeli wanaoelewa hiyo lugha kwa sababu tutadhania ya kwamba maneno anayosema--- Mimi naonelea akiongea kwa lugha ya kingereza, huwa anajadili vilivyo kwa ufasaha na weledi. Lakini akiongea kwa lugha ya Kiswahili, inamkanganya kidogo mpaka hatumwelewi kabisa. Asante, Bw. Spika.
view
17 Jul 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Ninaungana nawe kuwakaribisha wanafunzi waleo ambao umetaja kutoka kaunti za Makueni na Kajiado. Masomo ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu. Ni vizuri wamekuja kuona vile ambavyo tunajadili katika Seneti hii. Kuhusu kudhulumiwa kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule zetu, si shida bali ni janga. Dhuluma hizi hutokea kila wakati na zimekuwa mazoea katika shule zetu. Tunataka Kamati ya Elimu ambayo itakashughulikia swala hili, iangalie kwa mapana na marefu, wakizingatia ya kwamba limekuwa likitendeka kila wakati. Wanafunzi wengi wameacha masomo yao kwa sababu wenzao wanawadhulumu ni kama wahuni na wakora. Kazi yao ...
view
16 Jul 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
16 Jul 2019 in Senate:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
16 Jul 2019 in Senate:
Thank you very much. He was precise and it was good. I have heard so many questions concerning human-wildlife conflict in Laikipia, Taita-Taveta and Kajiado. I did not hear him say anything about that and the way forward.
view
11 Jul 2019 in Senate:
On a point of order, Madam Temporary Speaker.
view
11 Jul 2019 in Senate:
Madam Temporary Speaker, the Speaker ruled on that issue last week. I do not know why it is being changed. He said that the leader of the delegation will be informed and it will be his prerogative as to whether to inform the Members of the delegation or not.
view
10 Jul 2019 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity. I support the Statement by Sen. Kibiru from Kirinyaga County. It is true that the state of health facilities has deteriorated. In fact, they are deteriorating from bad to worse. If you come to Laikipia, many facilities are grinding to a halt because---
view