John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2091 to 2100 of 2259.

  • 18 Jun 2019 in Senate: Kamati ambayo itapewa jukumu--- view
  • 18 Jun 2019 in Senate: Kamati ambayo itapewa jukumu ya kuangalia haya maneno wanapaswa kuona ya kwamba hoja hii imeshughulikiwa kwa mapana na marefu kwa sababu hata wanyonge wana haki--- view
  • 18 Jun 2019 in Senate: Ahsante sana, Bw. Spika. Mimi ni mkristo halisi na sizingatii wala siyafahamu mambo ambayo anajaribu kuyasema. Kwa hivyo ninaweza kustahimili. Ni vizuri tutie maanani kwa hoja hiyo ndiposa tuweze kusema ya kwamba kila mkenya; maskini, tajiri, mlala hoi, mla nyama na mla nyasi, anahaki. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: Madam Temporary Speaker, I support this Petition. This Petition is not unique to Nyamira County. It cuts across the 47 counties. Sometimes it bothers me when we sit here and talk about increasing money that goes to the counties but a lot of it is lost through corruption. It beats logic why more money should be taken to the counties yet it is not used for the intended purposes. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: We should encourage county assemblies to do oversight because they are the first call of oversight. Since Senators are not given money for oversight, then it becomes difficult for us. We can keep talking here until cows come home. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: We had a petition yesterday and we may have another one tomorrow. If we do not fix the problem, we will keep receiving petitions because there is nothing that can be done. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: I thank you. view
  • 6 Jun 2019 in Senate: Asante Sana, Bi. Spika wa Muda. Ni jambo la kuvunja moyo sana jinsi Seneta mwenzetu alishambuliwa kiwango hicho, ilhali wale ambao walikamatwa kwa kuhusika na mashambulizi hayo waliachiliwa huru. Inaonekana kwamba Serikali haitilii mkazo mambo ya usalama; sio usalama wa Sen. Anuar pekee yake bali ni usalama wa Wakenya kwa jumla. Najua kwamba Sen. Anuar ni mwanachama wa Kamati ya Usalama ya Seneti. Kwa hivyo, ningependa kuiambia Kamati ya Usalama ichunguze hicho kisa ili waweze kujua kiini cha kitendo hiki ni nini. Ni kana kwamba Serikali haiangalii usalama wa mtu yeyote. Hi ni kwa sababu sio Sen. Anuar peke yake ... view
  • 30 May 2019 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. I do not understand what the Senator is talking about when she says that an on. Members have kids in the streets. Does she mean having kids when talking in the streets right now or the ones that stay in the streets? I am not getting her. view
  • 15 May 2019 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. From the outset, I congratulate my brother for this good Motion. I commit to undertake the assessment of the current status of the county governments. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus