4 Jul 2019 in Senate:
I am most obliged, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
4 Jul 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika. Ningetaka kujumuika na wewe kuwakaribisha wanafunzi wote walio katika Seneti yetu. Shule ya Msingi ya Kiwanja Ndege imebobea sana na tunatarajia kwamba itaenda mbali. Wamebobea na kuendelea kufanya vizuri. Wazazi pamoja na wanafunzi ni watu waliojitolea mhanga. Kwa hivyo, sisi tunawategemea wale wanafunzi na ninajua watakuwa viongozi wa kesho. Ninataka kuwaambia wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kiwanja Ndege kwamba mmekuja hapa, mkaona vile ambavyo viongozi hapa Seneti wanavyojadili kwa weledi wa hali ya juu. Nawatakia kila la heri kwa masomo yenu. Muweke masomo mbele kwa sababu masomo ndio uti wa mgongo wa maendeleo katika ...
view
3 Jul 2019 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Nampongeza Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Bajeti na Kiongozi wa Wengi katika Seneti kuleta
view
3 Jul 2019 in Senate:
hii. Ni jambo la kuhuzunisha muno kwa sababu ni kama tuko hapa kujadili tabia za “Jopo ama Kongamano la Kitaifa” ukifafanua the National Assembly . Parliament inamaanisha Bunge na sitaki kuongea kuhusu hilo. Ikiwa mapato ya nchi yanaongezeka, basi mgao wa pesa za kaunti unapaswa kuongezeka kwa asilimia hiyo. Kazi yetu kama Maseneta ni kutetea na kuhakikisha kaunti zetu zinapata pesa. Ningependa kuwaambia ndugu zetu walioteuliwa kwenye jopo la kushughulikia jinsi pesa zitatumiwa wasimame kidete ili kuhakikisha kaunti zinapata Kshs335 billion. Tusilegeze kamba kwa sababu tukifanya hivyo, tutakuwa tunaleta mfano usiofaa. Wao wameongeza pesa zao hadi Kshs100 million. Tukisema pesa ...
view
2 Jul 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. I am getting worried. When a patient asks the doctor where he can get the medicine, is it wrong for the doctor to direct him or her where he or she can get it? Is it an offence?
view
2 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I repeat that I did not say that. Sakaja is insinuating that. I was clear.
view
2 Jul 2019 in Senate:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. I said Sen. Sakaja. May be, it is because I was quick. I did not say that. I asked whether that is what he meant. He was clear that he did not mean exactly that. However, he is insinuating that it is what I meant. I did not mean that I am comfortable with patients leaving the Government hospitals to buy drugs from private pharmacies outside the hospital. I asked whether that is what he meant.
view
2 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, if there are no drugs in the hospital, as you said, what is the doctor supposed to do with the patient? I was asking if it is true and he said yes. He has repeated it and said that if we do not have drugs in the hospital and the patient asked the doctor where to get the medicine---
view
2 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 Jun 2019 in Senate:
Ahsante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninaunga hoja hii mkono na ningependa kusema ya kwamba kila mtu anapaswa kupewa haki yake. Hiyo isipotendeka, tutakuwa tunaonyesha ya kwamba mnyonge hana haki na mtu ambaye amelima shamba yake ndogo hawezi kupiga kura. Itakuwa pia inaonyesha ya kwamba huyo mtu hana usemi wowote katika ukuzaji wa majani.
view