21 Nov 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nime bonyeza nikiwa na hakika kwamba nitazungumzia Mswada huu kuhusu kuzuia wizi wa mifugo ambao umeletwa na Sen. Cherarkey. Mswada huu unafaa zaidi wakati huu. Sehemu nyingi nchini Kenya, hasa Bonde la Ufa, wananchi hupatwa na shida za wizi wa mifugo. Wizi wa mifugo ni jambo ambalo limesumbua watu wetu kwa miaka mingi. Wakaazi wengi wa Kaunti ya Laikipia hutegemea kilimo cha mifugo kuwapeleka watoto wao shule. Mifugo ndio tegemeo lao kubwa la maisha. Kilimo cha mifugo ndio chanzo cha kuuana kwa waakazi wa kaunti yetu. Watu wengi katika maeneo ya Wangwashe, Ol ...
view
21 Nov 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

Baada ya kuua watu, mifugo hupelekwa mahali fulani kufugwa na kisha husafirishwa hadi miji mikuu nchini. Sio wizi wa kawaida ambao hufanywa na walala hoi. Naunga mkono Mswada huu kwa sababu ya kipengee ambacho kinasema wezi wa mifugo wakipatikana, watachukuliwa hatua dhabiti za kisheria. Siyo wezi wa mifugo peke yao ambao watachukuliwa hatua za kisheria pia wafanyibiashara ambao huhusika na wizi huu. Hii ni kwa sababu wao ndio wanawafanya vijana wetu kuasi shule na kujihusishe na wizi wa mifugo. Kwa hivyo, sio wahusika wadogo ambao huiba mifugo wanaopaswa kuchukuliwa hatua pekee yao, bali watu wote wanaojihusisha biashara hii ya wizi ...

16 Nov 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kenya ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Kamati ya Usalama ya Umoja wa Mataifa waliketi na kusema ya kwamba wale ambao wana ujuzi, uzoefu na uwezo wa kuongoza katika nchi ya Haiti ni Kenya. Nimewasikia ndugu zangu kutoka upande wa upinzani wakisema ya kwamba tunapaswa kuzipinga juhudi hizi. Tunapaswa kupongeza askari polisi wa nchi ya Kenya kwa kuteuliwa ili kuongoza kwa sababu wana uzoefu na ujuzi. Kabla ya kupitisha Hoja hii, nimekuwa nikipigiwa simu na askari polisi ambao wana uzoefu wakisema kuwa wanangoja tuipitishe Hoja hii ili Wizara ya Maswala ya ...

Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunikinga kutokana na maswala ambayo umeyaona siyo nyeti. Askari polisi wanaweza kupigia mtu simu kuhusu mambo mengi sio mambo ya Haiti pekee yake. Wao hunipigia simu wakati ambapo watu wanashambuliwa na wezi wa mifugo katika Kaunti ya Laikipia. Wananipigia simu kama Seneta wao. Hili sio jambo geni. Kazi kuu ya Bunge hili ni kuidhinisha ili Wizara iweze---

Bw. Spika wa Muda, nadhani muda wangu ungesimamishwa kwa sababu ya Sen. Oketch Gicheru---
view