John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 2259.

  • 7 Dec 2023 in Senate: Tulienda pia mpaka Kaunti ya Uasin Gishu tukiendelea na majukumu ambayo tuliyopewa kufanya. Kwa sababu Maseneta wamekua na majukumu mengi, ni vizuri warudi sehemu zao wanazowakilisha ili kupumzika halafu warejelee maswala yao mwaka ujao kwa kasi. Ikumbukwe wazi kwamba mwaka huu, nchi hii ilipata kiangazi na pia kulikua na maandamano. Huu mwaka tena ndio tumepata mafuriko. Yote tisa, kumi ni kwamba, ni vizuri angalau Seneti hii ichukue likizo ili waangalie haya mambo yote kwa undani, ili mwaka ujao tuweze kuangazia sheria ambazo zimeletwa Bunge hili na pia kushukuru Maseneta ambao walichangia hizi sheria. Bi. Spika wa Muda, kwa sababu kuna ... view

  • 5 Dec 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I heard the good Sen. Lomenen from Turkana saying that the truth changes and he quoted a certain book. I do not know what book that is because I know the truth does not change even if you bury it, it will come out as truth. I would want that book so that I can refer to it. I support him 100 per cent on what he says about banditry as we go through that in Laikipia. However, let him clarify the truth. view

  • 30 Nov 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view

  • 30 Nov 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I wanted your guidance because the same Statement was sought yesterday by Sen. Crystal Asige. I just want your clarification. view

  • 29 Nov 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, Mawaziri husika wameonyesha kwamba hawana heshima yeyote na Seneti. Mawaziri hao walianza kwa kukejeli na kudhihaki Kamati zetu. Wakiitwa katika Kamati, hawakuji na hata hawasemi chochote. Sasa wameona kwamba wamehitimu. Kutoka kwa kamati, sasa wanataka kukujaribu wewe kama Spika wa Seneti. Wanangoja kwa hamu na ghamu waone utafanya nini. Usipofaya jambo leo, Seneti itakuwa imezama lakini mimi nina imani ya kwamba wewe kama Spika wetu utafanya jambo. Nilikuja hapa asubuhi na mapema ili niweze kuona Waziri wa Kawi anieleze ni mipango gani aliyonayo kwa sababu sehemu nyingi za Kaunti ya Laikipia hazina ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus