14 Feb 2024 in Senate:
Standing Order No.110. He agrees with what Sen. Wamatangi said.
view
14 Feb 2024 in Senate:
I am sorry, Mr. Deputy Speaker. Sen. Wamatinga was clear and said he supports with amendment concerning the issue of what is devolved. He was clear about water is being devolved.
view
14 Feb 2024 in Senate:
I just wanted clarification, so that he does not assume that Sen. Wamatinga does not respect that water is a devolved function.
view
13 Feb 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, naungana na wenzangu kutuma risala zangu za rambirambi kwa familia ya mwanariadha Kelvin Kiptum ambaye aliaga dunia. Naunga mkono Mswada huu wa Kamati ya Shughuli katika Bunge kwa sababu hawa Maseneta ni wale tu ambao walikuwa kwa hii Kamati wakati ule mwingine. Kwa hivyo, ni watu ambao wako na ujuzi kwa mambo ya hii kamati. Bw. Spika, nimemsikiza Sen. Mungatana akisema ya kwamba ni vizuri tuwe na kamati ambayo itakuwa ikitekeleza mapendekezo ambayo yameletwa na kamati zingine. Naona hilo ni jambo nzuri kwa sababu mapendekezo yanayoletwa na kamati, na siyo kamati tu ...
view
7 Dec 2023 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kuunga mkono Hoja hii ya kuhairisha kikao. Mwaka huu Seneti imekua na mambo mengi iliyotekeleza. Tukikumbuka ya kwamba Seneti ilienda kule Turkana mashinani na ikafanya vikao mahali kwingi.

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.