21 Feb 2024 in Senate:
walikutana katika Kamati na kuweza kujadili haswa Kiongozi wa Waliowengi, Sen. Cheruiyot, Sen. Omogeni pamoja na wale wengine. Naunga mkono mapendekezo waliotoa kuhusu Constituencies Development Fund
view
21 Feb 2024 in Senate:
na County Assemblies Fund (CAF ) na Senate Oversight Fund . Vile, naunga mkono ofisi ya Kiongozi wa Upinzani na mapendekezo walioileta katika tume hii ya uchaguzi. Ni kinaya kwa sababu mambo waliojadili yangejadiliwa katika Bunge hili bila kuupoteza muda. Msingi tunaouweka katika nchi hii wa kusema ni lazima kuwe na vurugu, fitima na hali isiyo hali katika nchi yetu ili tupatane kujadili mambo haya inavunja moyo sana. Kwa mfano; mapendekezo haya yote yangeweze kutolewa kwa Kamati husika za Bunge. Waliokuwa wanaongoza Kamati hii ya majadiliano ni watu walio Bunge hili. Waliosema kuwa maoni hayo yote yangejadiliwa katika Bunge hili ...
view
21 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Feb 2024 in Senate:
Wakenya waliouwawa katika maandamano walisaidika vipi na mapendekezo haya tunayoleta hapa? Tutawaambia nini? Mali yao itaregeshwa vipi? Ni vizuri tunene ukweli na sio kuficha ukweli kwa kusema mengi. Walakini ilileta utulivu. Mswahili alisema wengi wape. Naunga mkono Ripoti hii. Lakini, isiwe naimsingi ambao utakuwa wa madhara kwetu.
view
20 Feb 2024 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, have you heard what the Senator for Kitui County has said about being given instructions? We do not take instructions from--- We only take instructions from the people who have elected us. I do not know why he is saying so. In fact, I have not come from Naivasha. Can he substantiate what he means by his orders?
view
20 Feb 2024 in Senate:
On a point of order, Madam Temporary Speaker.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Madam Temporary Speaker, it is the practice of this House that we have ranking Members. How would Sen. Orwoba speak before Sen. Onyonka and Sen. Cherarkey? There is a practice.
view
14 Feb 2024 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I have listened to Sen. Olekina whom I respect so much. I do not know why he is casting---
view
14 Feb 2024 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, when Sen. Wamatinga finished his statement, he said ‘with amendment.’ I do not know whether he is not agreeing.
view