John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 2259.

  • 20 Mar 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuunga mkono Kauli iliyoletwa na Kiongozi wa Walio Wachache, Sen. Madzayo. Kampuni zinapaswa ziwe nyingi. Tukiwa na kampuni nyingi nchini tutaimarisha uchumi wetu. Kampuni hizi ambazo zinakuja zisiwe ni chanzo cha kuharibu mazingira na kuangamiza wananchi wa Kenya. Nimemsikiza kiongozi wa Walio Wachache akisema ya kwamba kuna kampuni ya Uchina ambayo kazi yake ni kuchimba madini. Baada ya kuchimba madini, inaharibu mazingira yetu. Hivi juzi tu tulikuwa na kongamano kubwa katika Jamhuri yetu ya Kenya na tukasema ya kwamba sisi tuko katika mstari wa mbele kusema tunapaswa kulinda mazingira yetu. Lakini ni ... view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. On your decision of two Senators from this side and two Senators from that side; I am not challenging your decision, but it is obvious that we are the majority. We should be given three Senators and two Senators from the other side. view

  • 19 Mar 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ningependa kuunga mkono Taarifa iliyoletwa na Sen. Cherarkey kuhusu pembejeo ya bei nafuu. view

  • 19 Mar 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 19 Mar 2024 in Senate: Bi. Spika wa Muda, ukweli wa mambo ni kwamba Serikali Kuu imejitolea ili wakulima wapate pembejeo kwa bei nafuu. Hili ni jambo nzuri lakini pembejeo yafaa ipelekwe mahali wakulima wako huko vijijini. Pembejeo hii hupelekwa mijini na huku wakulima wengi hawako mijini. Kwenye Kaunti ya Laikipia, pembejeo hii haifikishwi mashinani, inafaa ipelekwe maeneo ya Sipili, Matanya na Salama mahali wakulima wako. Isipelekwe mijini ambapo wakifikisha mijini wanasema pembejeo imefikishwa kwa wakulima. Ni kinaya kwa sababu tunaongea kuhusu pembejeo. Lakini ninaunga mkono Taarifa ya Sen. Wafula kutoka Bungoma. Pembejeo hii ikiletwa kwenye huu msimu wa mvua, Seneta amesema kuwa hakuna mahindi ... view

  • 14 Mar 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii. Hili ni Bunge la kumbukumbu na tumekuwa na kikao kama hiki, tukijadili Hoja kama hii. Nakumbuka ya kwamba, maswali tunayopaswa kuuliza, ni ya ufafanuzi mahali ambapo hatujaelewa vizuri. Lakini, maswali yanayoulizwa, ni kama kwamba, sisi tayari tumekata kesi na mwelekeo ambao tunataka kuchukua. Bw. Naibu wa Spika, Spika mwenzako alisema vivyo hivyo ya kwamba, maswali tunayouliza yanapaswa yaelekezwe kwa ufafanuzi na si kuonekana kwamba tayari tumechukua msimamo na mwelekeo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus