15 Nov 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda. Kuanzia mwanzo, naunga mkono kuongezwa kwa muda kwa Kamati hii ya Dharura kwa siku 100. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
15 Nov 2023 in Senate:
Nimeangalia shughuli ambazo wamekuwa wakiziangatia. Wamekutana na Wizara ya Afya, Wizara inayohusika na Mambo ya Maswala ya Nje, na Wizara inayohusika na Mambo za Humu Nchini. Lakini, ni vizuri tuseme ya kwamba, muda huu ambao wameuliza wautumie vizuri wasije tena hapa kuomba waongezewe. Hii ni kwa sababu mambo waliyoyafanya, wameyafanya na zaidi ya siku 165. Haya ni mambo machache yaliyobaki wanayotakia siku 100, najua inawezekana. Hii ni kwa sababu wanasema wanataka kukutana na Mkuu wa Sheria, Balozi wa nchi ya Marekani na vile vile, watembelee nchi ya Amerika ndio waweze kukutana na Seneti ya Amerika. Kwa hivyo, hizo siku 100 ...

On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir.

Mr. Temporary Speaker, Sir, I listened to the most sought lawyer in town, Sen. Cherarkey. Does he insinuate that Sen. Yusuf Haji, who also sits in the The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

Speaker’s Panel, is not a good speaker because he did not represent him when he was in the trenches?
view