John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 291 to 300 of 2259.

  • 14 Nov 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 14 Nov 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I am standing on Standing Order No.105. I listened to Sen. Mumma saying that Sen. Cherarkey, who pretends to love the President, should sit and listen. I am wondering, how does she know whether he loves the President or not? She should substantiate that. view

  • 14 Nov 2023 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Kuanzia mwanzo, naunga mkono Hoja hii ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Kenya. Ijulikane wazi, Rais mwenyewe alisema kinaga ubaga anajua kuwa maisha ni magumu lakini kuna ile mikakati ambayo imewekwa kuangazia kwamba maisha magumu ya wakenya inazingatiwa. Kwanza kabisa, bei ya pembejeo imepuguzwa kutoka Kshs7,000 mpaka Kshs2,500 ndiposa bei ya chakula iweze kupungua. Hivi sasa, sehemu zile ambazo tunategemea sana kwa hali ya ukulima wamesema kwamba wameweza kupata mazao maradufu na ni ukweli. Ukiangalia sehemu nyingi, unaona Mungu alitujalia kwa mvua na mazao yameendelea kuwa mazuri. Jambo lingine ambalo ... view

  • 14 Nov 2023 in Senate: hata ya siku zake mwezi wa sita mwaka ujao, Decemba hii tayari Serikali ya Kenya italipa Dollar milioni mia tatu. Hilo ni jambo ambalo tunaona Serikali inaendelea kuwa dhabiti. Hii ni kwa sababu hauwezi ukalipa deni ikiwa wewe si dhabiti. Ni vizuri kulipa madeni uliyo nayo. Tayari tulikuwa tumechukua zaidi ya Dollar bilioni mbili. Bw. Spika wa Muda, tulipokuwa tukizunguka Jamhuri ya Kenya tukiomba kura, Rais alisema atazingatia Hustler Fund. Wakati huu tunapoongea, mwezi jana, zaidi ya `Ksh36.8 bilioni zilikuwa zimechukuliwa na wananchi wa Kenya. Hawa ambao tunawaita hustlers ama walala hoi tayari walichukua hela hizi na zimewasaidia kwa shughuli ... view

  • 14 Nov 2023 in Senate: Hawa majeshi watapata maarifa. Itawezekana wao ndio watengeneza barabara, kuweka nyumba maji na vile vile kuweka stima kwa sababu watasoma haya mambo. Bw. Spika wa Muda, kuna jambo lingine ambalo alilitaja. Alisema ya kwamba katika nchi ya Kenya kuna shida, kwa sababu tunapata mazao lakini soko zetu si nzuri sana. Alisema vizuri ya kwamba tutakuwa na soko katika sehemu nyingi za nchi yetu ya Kenya na zile soko zitakuwa na stima na maji. Kwa hivyo, ijapokuwa ndugu zangu wa upinzani wanasema ati Hotuba yenyewe haikuwa nzuri, Mswahili husema ‘Mgala muue na haki umpe.’ Kazi nzuri imefanywa. Ukitembea utaona haya maneno ... view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. From the onset, I thank the Cabinet Secretary for the response. I am aware that we have many Community Health Workers (CHW) in this country and it is a good thing. Comparing our country to Cuba, you can see that many places in Cuba have polyclinics. The CHWs do a good job, but if you look at our Republic, we say that resources must follow functions. Much of the resource is left at the national level. When we have these CHPs, if they diagnose or have issues with people they are seeing, they refer them ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus