John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 2259.

  • 1 Nov 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I would hate to interrupt my senior. Nonetheless, for record purposes, the Senator is a senior member of our society, which is why he is choosing his words well. However, he is talking about a play, a game and then stigma. I know he is choosing his words because of our culture. However, for purposes of record, he is putting us in a bad situation by insinuating games and stigma. I would like clarity on what he is referring to. view
  • 1 Nov 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninasimama kuunga mkono Mswada huu kwa sababu ni mzuri na wasichana ambao wanapata mimba za mapema waweze kutunzwa na kulindwa. Lakini kwa usemi huo huo, ni vizuri ijulikane kuwa mimi sishabiki wala kukubali ya kwamba wanapaswa kutunzwa na kulindwa. Tukifanya hivyo, tutawahimiza wapate mimba za mapema. Ni vizuri ijulikane kuwa katika mila na desturi zetu, haswa sisi, Waafrika, kuna msemo tunaotumia kuwa, “Mtoto amevunjwa mguu”. Jambo hili likifanyika, wazee huwa wanaenda katika ile familia na kufanya mambo ya kidesturi. Ninakubaliana na Mswada huu kwa sababu baada ya wasichana hawa kupata mimba za mapema, wengi wao ... view

  • 1 Nov 2023 in Senate: inafaa. Ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu unahimiza Serikali kuu imakinike na itilie mkazo kuangalia maneno hayo. Mswada huu haukomi pale, unaendelea kusema ya kwamba, gatuzi zetu zinapaswa kuangalia zile sehemu ambazo hawa wasichana ambao wamepata mimba za mapema wanapelekwa. Kifungu cha 11(2) kinasema ya kwamba msichana akishukiwa kuwa na mimba, hawapaswi kushurutishwa kuenda hospitali ama kukaguliwa. Hapa kuna tatizo kwa sababu huyu ni mtoto ambaye hawezi kujifanyia uamuzi. Pengine tungesema ya kwamba ikiwa tayari amemwambia mzazi wake na wameangalia vizuri. Ni jukumu lao kuwa na ule msukumo kwa sababu huyu ni mtoto na hawezi kufanya uamuzi mwafaka. Hata sisi ... view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika, Mswada huu ni mzuri kwa sababu kaunti zetu ambazo pesa nyingi tunapeleka zitatumika kutengeneza hizi sehemu ambazo hawa wazazi ambao ni wachanga wataweza kuwa wananufaika kwa maelezo, ndio waweze kujua watajilinda kivipi. view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Wengine wao sio kwa sababu walijihusisha kwa ndoa za mapema. Wengine wao wamenajisiwa. Kwa hivyo, wataenda pale kupata maagizo ya kutosha na waweze kuendelea na maisha yao ya usoni. Hata hivyo, kama ni yule amenajisiwa, unapata hajui atafanya nini. Lakini kwa maagizo na maelezo ambayo atapata katika zile sehemu ambazo zitatengwa kwa kaunti zetu, itamuwezesha kuendelea mbele. view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Sitaki kurudia yale ambayo walioongea mbele yangu wamesema. Nafikisha hapo na kusema asante. Namshukuru Sen. Miraj kwa Mswada huu na naunga mkono. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus