John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 331 to 340 of 2259.

  • 31 Oct 2023 in Senate: Bw. Spika, nilimsikiza Sen. Munyi Mundigi akisingizia ya kwamba Seneta wa Mombasa anaweza kuwa anatumia dawa za kulevya. view
  • 31 Oct 2023 in Senate: Alisema. Ningependa hiyo nukuu iondolewe kwa sababu Sen. Faki ni Seneta wa Seneti hii na kusema kwamba anaweza tumia dawa ya kulevya sio vizuri. view
  • 31 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. view
  • 19 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Nataka kuipongeza taarifa iliyoletwa na Sen. Munyi Mundigi na Sen. Cherarkey. Najua kuwa mfanyikazi yeyote wa serikali anapoajiriwa anapeana maelezo ya kuwa anaweza kufanya kazi mahali popote katika Jamuhuri ya Kenya. Kuna wakati ambapo maji yanazidi unga. Unapata sehemu zingine hazina usalama wowote na watu wanashambuliwa. Ni jukumu la Serikali kulinda mali na maisha ya mwananchi anapoenda sehemu ambayo maisha yake yako hatarani. Walimu walioenda sehemu ambazo hazina usalama walisema kuwa ni vizuri watolewe katika sehemu zile. Taasisi ya Elimu kuwafuta kazi ni unyama unaopaswa kukemewa na kila mtu. Walimu ni wananchi ... view
  • 19 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika. Naunga mkono Kauli ya Kiongozi wa Walio Wengi katika Seneti na kumpongeza Rais, kwa kutia sahihi Miswada kadhaa ili iwe sheria, ndio nchi ya Kenya ichangamkie maswala ya afya. Nchi haiwezi kuendelea mbele bila watu kuwa na afya njema. Naunga mkono Kauli hii na kumpongeza Mratibu wa walio Wengi, Sen. (Dr.) Khalwale, kwa kazi nzuri aliyofanya kutuleta pamoja na kupiga kura ili Miswada hii ipitishwe. Nawapongeza Kiongozi wa Walio Wachache na Kiongozi wa Walio Wengi Sen. Cheruiyot. Kwenye Kauli hii ningependa kupongeza Wenyekiti wa Kamati kadhaa ambao wamefanya kazi nzuri. Kuna maombi mengi yamepelekwa kwenye Kamati ... view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Mambo ardhi imekuwa ni donda sugu katika Jamhuri yetu ya Kenya. Ninaungana na hawa ndugu zetu wa Mwabundusi kwa kusema ya kwamba mashamba yao yamenyakuliwa au kuchukuliwa. Kulingana na ardhilhali yao, wanasema ya kwamba shirika hili la serikali lilikuwa limepewa zaidi ya ekari 83, halafu sasa wakaongeza mpaka hekari 300. Bw. Spika, jambo hili ni la kuvunja moyo sana kwa sababu nchi hii ya Kenya ni yetu. Hakuna vile wananchi walalahoi watasukumwa katika nchi yao na kupelekwa katika sehemu ambazo wanakaa kwa shida nyingi. Bw. Spika, sio ardhilhali pekee yake. Katika Seneti hii, ... view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Bw. Spika, nimemskiza Seneta wa Kaunti ya Nyamira akisema eti jambo lile halimhusu ndewe wala sikio. Lakini, yeye ni Seneta. Jambo lolote linalomhusu Mkenya linamhusu pia. view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Bw. Spika ni kwa sababu sisi ni wawakilishi wa Wakenya. Kipengele cha 96 cha Katiba ya Kenya--- view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Bw. Spika ni katika Katiba ya Kenya sio--- view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. It is in the public domain how they arrived at that formula. It is by what we call the poverty index. I support what Sen. Olekina said. A county can, indeed, be very rich, but when they go to the sub- location level in that county, that sub-location might be very poor. For them to say that the equalisation fund is supposed to be given to only 14 counties--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus