John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 2259.

  • 18 Jul 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, ninakubali. Ni vizuri wajue ya kwamba ninampatia taarifa ambayo hakua anakumbuka. Kwa sababu amesema maneno mengi lakini ukweli wa mambo ni kwamba, mtu moja akinufaika, Kenya inakua nzuri. Tutakataa leo, kesho, kesho kutwa hata mtondogoo. Nashukuru, Bi. Spika wa Muda. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nataka kuungana nawe kuwakaribisha ndugu zetu waheshimiwa kutoka Kaunti ya Nyandarua. Kaunti ya Nyandarua ni jirani na Kaunti ya Laikipia. Seneta wao ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili. Ni kiongozi ambaye tunatambua kwenye shughuli za kikazi. Ni mtu anayefanya kazi nzuri kama Seneta. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Ni hakika watajifunza mambo mengi katika Seneti. Kazi ya Seneti ni kuangalia na kuongeza fedha zinazogawiwa gatuzi zetu. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Bila kupoteza muda mwingi, ninawakaribisha nikitumaini kuwa watajifunza mengi. Seneta wenu amebobea katika kazi yake. Tunamuenzi na kuwashukuru kwa kumchagua. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Point of order. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I am standing on Standing Order No. 53(3)- Where a Statement has been requested from the Committee pursuant to Paragraph 1, the Speaker may allow comments in relation to the Statement for not more than 15 minutes. I was requesting that because of the Statement that was made by Sen. Faki concerning the issue of drugs. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Mr. Speaker, you are biased because every time another person rises on a point of order, you do not allow. It is only Sen. Cherarkey and--- view
  • 22 Jun 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 22 Jun 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, the people of Kitui are keenly listening to the Senator for Nairobi City County as he says that he thought mung beans is a fancy crop. Is he insinuating that ndengu is just another crop and the people of Kitui are listening? What did he mean by fancy? view
  • 22 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Mwanzo, ninampongeza Sen. Wambua kwa kuleta Mswada huu wa ndengu. Ninampa heko na view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus