19 Oct 2022 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, did you see what the nominated Senator from Samburu did? She just left the Clerk’s table and she walked across without following the correct procedure of this House.
view
18 Oct 2022 in Senate:
Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Mambo ya usalama na ufugaji yamekuwa yakiandamana. Ni vuzuri ijulikane wazi kuwa kazi kuu ya Serikali ni kulinda maisha na mali ya wananchi. Jambo ambalo limekuwa likitendeka katika Kaunti ya Laikipia ni kuwa wafugaji wanalisha wanyama wao kwenye mashamba ya watu, na kusema kuwa wanawalisha nyasi sio mchanga. Mchanga ni yako lakini mimea ni ya wanyama. Ni vizuri ijulikane kuwa mashamba yana wenyewe. Hakuna mtu anayesema kuwa mfugaji hafai kuwa na mifugo yake. Anafaa kufuga mifugo inayoweza kutoshelezwa na shamba lake. Mkulima pia ana haki yake, kwa sababu anategemea mimea ...
view
13 Oct 2022 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I just wanted to seek clarification from Sen. Onyonka. I heard him say that he was a Deputy Minister and I was confused. I do not know whether he was a Deputy Minister in this or another country.
view
13 Oct 2022 in Senate:
Bw. Naibu Spika, waswahili wanasema mghala muue na haki umpe. Katika lugha ya Bunge, naona sio vizuri kuita Mbunge mwenzako “mlafi”. Sioni ikiwa lugha nzuri. Ndiposa nimesema, mghala muue na haki umpe.
view
13 Oct 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Nataka kuchukua fursa hii kumpongeza Sen. Ali Roba kwa Hoja hii ambayo imeletwa wakati unaofaa. Ni ukweli ya kwamba hili janga la njaa limekumba sehemu nyingi za nchi yetu ya Kenya. Ukitembea sehemu za Laikipia Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, utapata watu wanasononeka kwa sababu ya njaa. Watoto hawaendi shule.
view
13 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
13 Oct 2022 in Senate:
Ningependa kuomba Serikali kuu - tunasema asante kwa sababu tayari wameendelea kujizatiti - waweze kupatia watu chakula. Lakini, waongeze bidii. Wapeleke chakula hasa kwa mashule zetu kwa sababu ukitembea katika shule nyingi unapata watoto hawasomi na hawaendi shule. Kwa hivyo, tunaomba ya kwamba ile chakula ambayo imepatikana, kama ni mahindi, mchele ama maharagwe, yote kwanza ipelekwe shuleni ili watoto waweze kusoma na kuhifadhiwa katika shule zao. Bw. Spika wa Muda, jambo la pili ni kwamba, janga la njaa limekuwa ni donda sugu. Mwaka nenda, mwaka rudi, tunaongea kuhusu janga la njaa. Kwa wakati huu, Serikali kuu inafaa ichukue jukumu lake ...
view
12 Oct 2022 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, this House knows very well that I am a good footballer and I play golf. Both those games are played by the Senate teams. When the Senate Majority Leader says there are other things that I go to do in Arusha, can he substantiate? What are the other things that I go to do apart from golf and football?
view
12 Oct 2022 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view