24 Mar 2022 in Senate:
Sen. Madzayo, you may present your Report.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Una hoja gani ya nidhamu Kiongozi wa Wengi? Sen. Madzayo, subiri kwanza. Kuna hoja ya nidhamu.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Katika Taarifa yangu ambayo nilisoma, tulisema kumekuwa na changamoto wakati Taarifa imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza alafu unajaribu kuinukuu kwa lugha ya Kiswahili. Sen. Madzayo, ningependa usome vile ambavyo imeandikwa kwa sababu wakati
view
24 Mar 2022 in Senate:
alikuwa akiamrisha ya kwamba hiyo ndio ripoti itakayowasilishwa, ilikuwa kwenye lugha ya Kiingereza. Naomba ufuate maagizo.
view