21 Feb 2024 in Senate:
, walisema kuna mambo yatakayosulihishwa au mapendekezo yatakayotekelezwa kwa kubadilisha Katiba, na mengine yatatekelezwa kwa kuunda sera na sheria za kuhakikisha kwamba mapendekezo ambayo yamejitokeza yatatekelezwa. Mheshimiwa Spika, la kwanza ni mambo ya upigaji kura, electoral justice kwa kizungu. Kulipendekezwa ya kwamba uchunguzi ufanywe ya vile kura ilivyoenda. Nashukuru kwa hilo pendekezo kwa sababu tukishafanya uhasibu wa vile kura ilipigwa, tutajua ukweli wa vile mambo yaliendelea. La pili ambalo linafanya niunge mkono Ripoti hii ni mambo ya kuweka National
view
21 Feb 2024 in Senate:
na pesa ya oversight ya maseneta. Maendeleo mengi yamefanyika katika magatuzi yetu kupitia hazina ya maeneo Bunge na ile ya NGAAF. Pia naunga mkono kuweka katika Katiba pesa ya oversight ya Seneti kwa sababu tayari kama maseneta, tuko mashinani na tunafanya uangalizi ya kutosha kuhakikisha kwamba pesa inayoenda kwa magatuzi inayotumika na magavana imetumika vizuri ili wananchi wetu wapate huduma inayofaa. Mheshimiwa Spika, kuna mambo ya mipaka. Ripoti inasema kwamba kuundwe kamati au Bunge iunde sheria ya kuangalia kwamba mipaka imeangaziwa. Kuna wasemaji wengi kama vile Sen. Chimera na Seneta wa Makueni waliongea kuhusu mambo ya mipaka. Hili ni swala ...
view
21 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Feb 2024 in Senate:
Kericho na Kisumu, maswala haya ni nyeti sana. Nafikiri hii Kamati isaidiane na Bunge au Bunge itekeleze mswada wa County Boundaries Act ambao itaangazia mambo ya kusuluhisha mambo ya mipaka ya counties kwa sababu ni swala sugu na wakati mwingine swala hili huleta maafa. Lingine lililojitokeza katika ule mchakato wote wa NADCO ni kwamba kuna maeneo Bunge inayoitwa kwa kizungu saved constituencies kwa sababu idadi yake haijafikia ile idadi ya watu kwa maeneo Bunge. Kwa mfano Kaunti ya Taita Taveta ina maeneo Bunge kadhaa ambayo haijafikisha ile nambari. Katika kutekeleza mapendekezo ya ripoti hii, inatakikana zile constituencies ndogo ndogo zihifadhiwe ...
view
21 Feb 2024 in Senate:
zaidi ili kuhakikisha kwamba constituencies hazipungui kulingana na Kipengee cha 189 cha Katiba. Ni kweli kwamba kuna constituencies ambazo ni kubwa na zingine ndogo ila kwa sababu zile hazina CDF, imeleta pesa mingi sana kwa magatuzi, sio vizuri zile constituencies kupunguzwa. Mheshimiwa Spika, mengine yaliyojitokeza ni kwamba kuna rasilmali ambazo ziko kwa counties na county zingine hazifaidi kutokana na hizo rasilmali. Kwa mfano, kuna mbuga za wanyama Taita Taveta ambayo asilimia 62 ya Taita-Taveta iko katika Tsavo National Park . Nashukuru kwa sababu kuna wakati Rais alitembea kule Taita Taveta na akasema ni vyema kuwe na mgao wa hamsini kwa ...
view
21 Feb 2024 in Senate:
au revenue sharing formula ambayo inakuja mwaka wa 2025, tutasukuma na kuhimiza wenzangu pia watuunge mkono ili kuwe na kigezo ya kuhakikisha kwamba zile rasilmali ambazo ziko katika kaunti, pia zile pesa inayokusanywa kutoka zile resources imefaidi au imewekwa kama kigezo cha kugawanya ushuru ambao unaenda kwa kaunti zetu; inaitwa sharable revenue .
view
21 Feb 2024 in Senate:
Mheshimiwa Spika wa muda, ningependa kusema kwamba mambo ya ugatuzi kwetu ni muhimu sana. Ningefurahia kama hii NADCO Report ingependekeza kwamba kuwe na pesa nyingi ---
view
21 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Feb 2024 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I second.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir for this opportunity. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Education regarding the welfare of adult education teachers in Taita Taveta County. In the Statement, the Committee should- (1) State whether the Ministry of Education is aware that adult education teachers in Taita Taveta County have not received their salaries for a period of 10 months, giving timelines when the teachers are expected to receive their overdue salaries and explain measures the Ministry is implementing to curb future salary disbursement delays. (2) Inform the Senate whether ...
view