Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 984.

  • 29 Feb 2024 in Senate: Committees further so that we can look at more Government agencies' reports and have more work done. In the last Parliament, I used to sit in the County Public Accounts and Investments Committee, where little work was done. However, because of the split of this committee, we have more work being done. If we can move ahead and split the committee maybe into five, we would have more work and more effective oversight in the Senate. I support. view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for this opportunity. I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources regarding the land boundary dispute between residents of Marungu Village and Oza Group Ranch, in Taita-Taveta County. In the Statement, the Committee should - (1) provide the requisite ownership documents for all parcels of land owned by Oza Group Ranch, in Wundanyi Subcounty, Taita-taveta County, stating the total acreage of the land. (2) Furnish the Senate with survey maps of parcels of land owned by residents of Marungu Village in ... view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for the opportunity to ask about the Mzima Phase II project in Taita-Taveta. Last year, your predecessor, hon. Alice Wahome, was here to answer the same question and she did state that that project was in the business development stage at the PPP at the Treasury. She did indicate that that process would end in July and so the project would commence in September. Why has the project has not started and when it will start? view
  • 22 Feb 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa fursa hii umenipa ili niunge mkono huu Mswada wa Parliamentary Powers and Privileges ambao umeletwa na Seneta wa Vihiga, Sen. Osotsi. Huu ni Mswada mzuri ambao unapatia uhai Ibara ya 125 ya Katiba. Bunge inaweza ita mtu yeyote ili kuja kutoa ushahidi kuambatana na Ibara ya 50 ambayo inatoa ruhusa kwa mtu yeyote kusikizwa. Bw. Spika, nimekuwa katika Seneti hii kwa muda wa miaka saba. Tumekuwa na shida wakati mwingine kupata watu ambao wanahitajika kuja kutoa ushahidi, hasa magavana ama mawaziri. Hii imepelekea kutopata ukweli kuhusu mambo kadha wa kadha. Seneti iliyopita kuna magavana ambao walikataa ... view
  • 22 Feb 2024 in Senate: Pia kuna Mawaziri wa Serikali ya kitaifa ambao wamehitajika kuja kutoa ushahidi lakini hawaji. Hiyo imepelekea kucheleweshwa kupata majibu ya Petitions nyingi. Nakubaliana kwamba faini ambayo inatolewa ni ya kiwango cha chini sana. Wakati Maseneta wengine walipokuwa wanachangia Mswada huu, walisema baadhi ya magavana huuliza Mpesa ama Paybill namba ili walipe faini hiii ya Kshs500,000. Nifikiri hayo ni madharau. Ninaunga mkono wengine ambao wamechangia na kusema hii faini iongezwe hadi milioni kumi. Pia kuwe na njia ya kuifanya hiyo iwe kama deni ambayo italipwa kuambatana na Public Debt Act. Pia ninaunga mkono kuwe na mbinu ya kuwalazimisha mashahidi kuja mbele ... view
  • 22 Feb 2024 in Senate: ama Statements, zitakuwa zinapata majibu kwa wakati unaofaa. Bw. Spika, naunga mkono Mswada huu view
  • 21 Feb 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise, pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Standing on Land, Environment and Natural Resources regarding the status of the processing of title deeds of Mwakingali B and Sikujua estates of Voi Sub-County, Taita Taveta County. In the Statement, the Committee should- (1) State when the Government will issue landowners of Mwakingali B and Sikujua estates title deeds for their parcels of land. (2) Give reasons for the delay in issuing these title deeds. view
  • 21 Feb 2024 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili nichangie hii Ripoti ya National Dialogue Committee (NADCO ). Kwanza, nawapa shukrani viongozi wetu wa pande zote mbili, Rais na Kiongozi wa Upinzani, Mhe. Raila Amollo Odinga, kwa kukubali ya kwamba ni vyema kuwe na kamati ya kukutana ili mazungumzo yafanywe. Mheshimiwa Spika, si mara ya kwanza sisi kujipata katika hali ya kuzungumza ili kuhakikisha kwamba Kenya inasonga mbele. Wakati wa kwanza kuwa na mazungumzo kama haya ni mwaka wa 1997 na iliitwa Ufungamano Initiative . Ni wakati tulifanya view
  • 21 Feb 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 21 Feb 2024 in Senate: mazungumzo na pande zote mbili za kisiasa kukubaliana kwamba tuwe na tume ya uchaguzi ambayo wakenya wote wanaiunga mkono. Kulikuwa pia na mazungumzo mwaka wa 2008 baada ya Kenya kufanya uchaguzi mwaka wa 2007. Mambo hayakuwa sawa na wakenya wakakubaliana kwamba ni vyema wakutane ili wazungumze. Mwaka wa 2018 wakati wa handshake, aliyekuwa Rais, Uhuru Kenyatta, alikutana na Kiongozi wa Upinzani, Raila Amollo Odinga na kukawa na Building Bridges Initiatives (BBI). Ilionekana kwamba ikiwa Kenya tutaendelea mbele--- Kuna watu wanafinyika bila amani. Ingawa hawakufikia mwisho katika mazungumzo yale ya BBI kwa sababu korti ilitoa mwelekeo kwamba Katiba haikufuatwa vilivyo, mambo ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus