Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 984.

  • 24 Apr 2024 in Senate: nyingi. Ni vizuri kuwe na maelezo kamili ni kwa nini Mdhibiti wa Bajeti anapitisha pesa zilipwe kwa malipo aina fulani lakini hayo malipo yanasimamishwa na malipo yanaenda kwa kazi tofauti. Hili pia limepelekea kuongezeka kwa bili zilizosalia. Hii inaoenyesha ya kwamba hakuna huduma zitatolewa katika kaunti zetu. Hivyo basi, hili ni swala la kulivalia njuga. Hili ni swala ambalo kama Seneti, tunatakikana tusimamishe kazi zote ili kuangazia njia tutakayo tumia kuhakikisha ya kwamba pesa zinazopatikana kwa kaunti zinatumika kulipa bili zilizosalia. Na kwamba, zile kaunti ambazo hazitalipa bili zilizosalia kulingana na Kanuni 50(2) (3) ya Public Finance Management Act Regulations, ... view
  • 24 Apr 2024 in Senate: Kwa hivyo, hii Hoja inasema ya kwamba wakati bajeti ya ziada inapo tengenezwa, ni vizuri kuwe na uhusishaji wa jamii na wananchi wajue sababu za kuondoa mradi katika bajeti. Bw. Spika, la mwisho, wakati wa bajeti ya ziada, kama haijahusisha mwananchi, basi Mdhibiti wa Bajeti asipitishe hiyo bajeti. Nimeona kama kwetu Taita Taveta, wakati wa kuandaa bajeti ya ziada ambayo nafikiri ni ya tatu huu mwaka, pesa za wadi zilikuwa shilingi milioni ishirini. Lakini, zimepunguwa kwa kiasi cha shilingi milioni nane na zikabakia shilingi milioni kumi na mbili. Wananchi hawajui kama kama shilingi milioni nane zimetolewa zikaenda kujenga Aggregation Centre ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii ili niulize swali la ziada kwa Waziri Aisha Jumwa. Kwanza, nimpa kongole kwa sababu hii ni mara yake ya kwanza kuja katika Seneti. Tunakutakia mema katika utendakazi wako katika hii Wizara. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Nilikuwa na swali kuhusu wafanyikazi wa maktaba. Kabla ya huduma za maktaba kugatuliwa, kuna pesa zilizotolewa za kuongeza mishahara ya wafanyikazi wa maktaba. Pesa hizo hazikutumika kuwapandisha vyeo na kubadilisha mishahara ya watu wanaofanya kazi katika maktaba. Wale wafanyikazi waligatuliwa wakati maktaba ziligatuliwa, pesa iliyotengwa haikutumika kuwapandisha vyeo. Swali langu ni, je, sijui kama mkurugenzi wa maktaba yuko hapo - hawa wafanyikazi watapata pesa zao? Watapandishwa vyeo? Wengi wao wamefanya kazi kwa miaka 15 bila kupandishwa vyeo. Wakati wao wakupandishwa vyeo ulipofika maktaba yaligatuliwa na pesa ziliyotengwa hazieleweki zilipoenda. Niko na Kauli ambayo niliwasilisha hapa Bungeni lakini sijapata jibu. Waziri ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for this opportunity. I am not satisfied by the response given by the Cabinet Secretary about the money for promotions of the employees working for the Kenya National Library Services (KNLS). This is a question that came from a union that represents the employees working for KNLS. They indicated that there was money that was released to the department in the Ministry in charge of KNLS, which was meant to promote the employees. That money was released before the unbundling of library services. These employees were supposed to be promoted, but because the services ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: The Standing Committee on Labour and Social Welfare. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus