Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 984.

  • 4 Jul 2024 in Senate: kwa barabara vibaya, utamuuliza namna gani na ni wewe mwenyewe ambaye ulimtafuta mkandarasi wako mwenyewe na unapokea asilimia 10? Vile Mhe. Kajwang’ amesema, kuna ukabila katika uajiri wa wafanyakazi. Juzi, watu walikuwa wanaajiriwa katika Kenya Revenue Authority (KRA). Kati ya watu 600 ambao walifanyiwa interview ama mahojiano, watu 500 wanatoka katika kabila mbili. Kama Bunge ingefanya kazi yake vizuri, basi wangeweza kutegua hicho kitendawili cha ukabila katika Public Service. Ukiangalia katika kaunti zetu, zaidi ya asilimia 10 ya pesa ambayo inaenda kwa serikali za kaunti zinaibiwa. Hii ni kwa sababu wale Wabunge wa kaunti wanafanya kazi kana kwamba wao ni ... view
  • 4 Jul 2024 in Senate: Sheria inasema kwamba mtu ambaye amekataa kuja Bunge, Inspekta wa Polisi amshike, ikiwa ni gavana au waziri, aje Bunge. Ila Inspekta Mkuu wetu wa polisi ameshindwa kuwaleta wafisadi katika Bunge letu. Sasa ikiwa kila mtu hafanyi kazi yake, inaonyesha kwamba ufisadi utakithiri na hatutapata maendeleo. Hao watu wanaoitwa Gen Z hawatawacha kupigania haki zao. Bi. Spika wa Muda, ningependa kusema kwamba vijana walifanya maandamano na ni haki yao kulingana na Ibara ya 37. Walifanya maandamano ya amani ila wakora waliingia na kuharibu. Naona wengine wao waliletwa na Serikali ili kuonyesha kwamba wale waandamanaji hawajui wanachofanya. Jambo la pili ningependa kulisema ... view
  • 4 Jul 2024 in Senate: wanaleta bajeti katika Bunge ila hakuna njia ya kubadilisha bajeti kwa sababu Treasury na Serikali imeleta ile bajeti. Ikiwa kazi ya Bunge ni kutunga bajeti, kwa nini hakuna ugavi wa kisawa sawa ya rasilimali za nchi? Maeneo mengine kama Taita-Taveta yameachwa nyuma sana. Hakuna miradi tunayopata zaidi ya shilingi 500 milioni au shilingi 1 bilioni. Tuko na barabara ya Bura- Mgange na Wundanyi-Mtomogoti. Hiyo barabara ilianza mwaka wa 2020 na hadi leo imewekewa kama shilingi 200 milioni pekee. Tumepitisha bajeti nne ya zaidi ya shilingi 3 trilioni na tunakosa shilingi 2 bilioni pekee kumaliza zile barabara. Hii ni kwa sababu ... view
  • 4 Jul 2024 in Senate: yetu--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 4 Jul 2024 in Senate: Asante. Curriculum y etu iko spiral. Ukifunzwa kitu kimoja leo, inafuatilia baada ya miaka miwili unaipata huko mbele inajengwa. Kama leo hii haujafunzwa vizuri, je, ukienda huko mbele, utaelewa masomo? Kwa hivyo, katika huu mtaala wa JSS, watoto wetu hawafundishwi vizuri. Hivyo basi, tunamaliza kizazi chote kwa sababu ya kukataa kuajiri walimu. Vile vile, Serikali ilisema ya kwamba ikifikia Septemba, itaajiri walimu wote 46,000 ambao wako katika kandarasi. Serikali itafute pesa na iajiri hawa walimu ili watoto wetu wapate elimu iliyo bora na si bora elimu. Kwa hayo mengi, ninaunga mkono Hoja hii. Asante Bi. Spika wa Muda. view
  • 11 Jun 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa fursa hii ambayo umenipa kuchangia Mswada wa The County Allocation of Revenue Bill (Senate Bills No.25 of 2024). Kaunti zetu zitapata takriban Shilingi bilioni 401. Hata hivyo, haikuwa rahisi bila kupigana kwa sababu Bunge la Taifa lilitaka kaunti zipate Shilingi bilioni 391. Ilibidi tuwe na Kamati ya Maridhiano. Kuna sababu kadhaa ambazo Wabunge hao walitoa kwa kukataa kupitisha Shilingi bilioni 415 ambazo zilipendekezwa na Seneti. Ya kwanza ni kwa sababu ya ufisadi katika magatuzi. Ufisadi pia uko katika Serikali ya Kitaifa jinsi ulivyo katika serikali za magatuzi. Ni muhimu taasisi husika zipigane na ufisadi katika Serikali ... view
  • 11 Jun 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa fursa hii ambayo umenipa kuchangia Mswada wa The County Allocation of Revenue Bill (Senate Bills No.25 of 2024). Kaunti zetu zitapata takriban Shilingi bilioni 401. Hata hivyo, haikuwa rahisi bila kupigana kwa sababu Bunge la Taifa lilitaka kaunti zipate Shilingi bilioni 391. Ilibidi tuwe na Kamati ya Maridhiano. Kuna sababu kadhaa ambazo Wabunge hao walitoa kwa kukataa kupitisha Shilingi bilioni 415 ambazo zilipendekezwa na Seneti. Ya kwanza ni kwa sababu ya ufisadi katika magatuzi. Ufisadi pia uko katika Serikali ya Kitaifa jinsi ulivyo katika serikali za magatuzi. Ni muhimu taasisi husika zipigane na ufisadi katika Serikali ... view
  • 7 May 2024 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda, kwa hii fursa ambayo umenipa ili niuinge mkono huu Mswada ulioletwa kwenye Seneti na Sen. Ogola kuhusu afya ya mama wajawaaztio, waliojifunugua na watoto waliozaliwa. Kumekuwa na sheria nyingi ambazo zimetungwa kuangazia haya maswala na pia kuna sera zingine ambazo hazijawekwa katika sheria. Katika hekima ya Sen. Ogola akaona ni vyema alete Mswada huu wa kuangazia hayo maswala. Bw. Spika wa Muda, nitaangazia vifungu kama tano hivi. Ya kwanza ikiwa ni Kifungu cha tano ambacho kinaangalia haki ya matibabu vile ilivyoangaziwa katika Ibara ya 43 kwamba kila mwananchi au Mkenya kulingana na Katiba anahitaji kuyafikia ... view
  • 7 May 2024 in Senate: Wakati wa kulifanya tendo la ndoa, kuna mambo ambayo tulikuwa tunaambiwa tutazame kabla ya kuenda kwa tendo hili. Katika vyuo vikuu wanafunza elimu ya Human Immuno Deficiency Virus (HIV)/Aids au Ukimwi. Wanaelezwa kuwa kabla ya kufanya mapenzi basi ni vyema kuangalia zana zile zinazotumika katika matendo ya ngono. Kwa mfano kabla ya mwanamme kufanya tendo lile anafaa kuchunguzwa kama ana hali ya afya ya kutosha au ana maambukizi ya virusi vya ukiwmi, fangasi au ya bakteria. view
  • 7 May 2024 in Senate: Hili ni swala ambalo limekua na hamasisho kwa kina mama ambao hawajapata mimba. Wanaelezwa kabisa kwamba ukifanya mapenzi, unafaa kuwa na afya njema bila maambukizi pamoja ya yule mwamaume unayechagua ili mtoto naye pia na afya njema. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus