Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 984.

  • 7 May 2024 in Senate: Sen. Ogola ameona ni vizuri tuiangazie afya ya mama na mtoto. Pia ni lazima tuimarishe afya ya mwamamke asiye na mimba ili apate hamasa ya kutosha. Ikifika wakati anapopendelea kuwa na mtoto aliye na afya nzuri basi kabla ya kuenda kwa tendo litakalo pelekea kuwa na mimba awe amechunguzwa vizuri. Kifungu cha saba kinaangalia huduma zinazofaa kupewa mwanamke aliye na mimba. Kila wakati kwenye mafunzo ya kiafya na maelezo ya redio na vyombo tofauti vya habari, taarifa inasisitiza na kueleza vyakula na dawa ambazo zimepigwa marufuku kwa wajawazito. Zaidi ya hayo, pia kuna vinywaji ambavyo kama mja mzito huwezi kutumia. ... view
  • 7 May 2024 in Senate: kule Voi, ambayo haikuwa na vifaa vya kutosha. Alivyoanza kujifungua, kwa bahati mbaya, mtoto alianza kuja visivyo stahili. Alikuja miguu ikiwa imetangulia. Inatakiwa mtoto aje na kichwa mama anapojifungua. Hawa nurses walipiga simu kwa kituo cha Referral cha Moi kwa mfano na wakaambiwa kwamba, ambulance itakuja. Walingoja kwa masaa matatu bila ambulance kufika. Kwa bahati nzuri, huyu mama, alisaidiwa na hao madaktari na akajifungua kwa miujiza. Kwa hivyo, inatakiwa kutojitayarisha vya kutosha kuwasaidia akina mama wajawazito kujifungua iwe ni kosa la uhaini ama criminal offence. Tumeona hali ya afya imedorora katika hospitali zetu. Kwa mfano, itakuwaje mama angojee masaa matatu ... view
  • 7 May 2024 in Senate: sasa, hali ya afya imedorora katika kaunti zingine. Unapata ya kwamba, matibabu ya mtoto mdogo ambaye amezaliwa ni ya bure lakini, bado wanalipia kitanda. Kwa hivyo, watu wengi wanaogopa kuwapeleka watoto wao hospitalini kwa sababu ya kutozwa pesa na wakati mwingine, hao watoto wanakufa. Nilikuwa na mfanyikazi wangu mmoja ambaye alikuwa na mtoto mgonjwa; akampeleka hospitalini na akashindwa kumtoa kwa sababu licha ya kuwa kuna mpangilio wa Linda Mama na sera za sheria zimewekwa na serikali za kusaidia watoto kama hawa, alikosa kutolewa kwa sababu ya bill ya Kshs4,500 kitanda na chakula pekee yake. Kwa hivyo, kukiwa kunatengenezwa kanuni za ... view
  • 24 Apr 2024 in Senate: Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii ili nichangie huu Hoja hii iliyoletwa na Senata wa Narok, Ledama Olekina, kuhusu malipo ya wanakandarasi ambao wamefanya kazi kwa serikali zetu za kaunti. Ukiangalia Hoja hii, hali ilivyo katika kaunti zetu ni kwamba kuna wanakandarasi wengi wamefanya kazi lakini hawajalipwa. Hili limepelekea hawa wanakandarasi kufunga biashara zao, wengine kujiua na benki nyingi sasa kukataa kuwapa mikopo wakandarasi wanaofanya kazi na serikali za kaunti. Hii imepelekea umaskini mwingi kwa wanakandarasi. Nakubaliana moja kwa moja ya kwamba ni vyema sheria ifuatwe wakati tunalipa wakandarasi kwa sababu sheria inasema kwamba wakati tumeanza mwaka mpya wa ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Na wakati wamepata pesa za kaunti badala kulipa wanakandarasi, wanatumia zile pesa ili kupeana zabuni mpya ili wapate asilimia kumi. Hii imepelekea malimbikizi ya pesa ambazo zinatakikana kulipwa wanakandarasi. Pesa hizi ni zaidi ya bilioni mia moja na saba zinazodaiwa Kaunti ya Nairobi. Kiambu ni shilingi bilioni tano nukta saba, Mombasa ni shilingi bilioni tatu nukta tisa na Taita-Taveta ni shilingi bilioni moja nukta mbili. Jambo la kushangaza ni kwamba hata wakati gatuzi zetu zinasema kwamba zimeweka katika bajeti pesa za kulipa wanakandarasi, pending bills au muswada unaosubiri haupungui. Taita-Taveta, kwa mfano, mwaka uliopita wa 2022/2023, walilipa shilingi milioni mia ... view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Mara nyingine Mdhibiti wa Bajeti anapitisha pesa zilipwe kwa wanakandarasi. Lakini, anapopitisha malipo, hayalipwi kulingana na vile yamepitishwa, bali yanaenda kufanya mambo tofauti. Nafikiri ni vizuri Mhasibu Mkuu aangalie kwa ukaribu ni kwa nini kuna kuwa na voided payments . Jana kulikuwa na Taarifa ya Seneta wa Kisii akiuliza ni kwa nini kuna kuwa na view

  • 24 Apr 2024 in Senate: nyingi. Ni vizuri kuwe na maelezo kamili ni kwa nini Mdhibiti wa Bajeti anapitisha pesa zilipwe kwa malipo aina fulani lakini hayo malipo yanasimamishwa na malipo yanaenda kwa kazi tofauti. Hili pia limepelekea kuongezeka kwa bili zilizosalia. Hii inaoenyesha ya kwamba hakuna huduma zitatolewa katika kaunti zetu. Hivyo basi, hili ni swala la kulivalia njuga. Hili ni swala ambalo kama Seneti, tunatakikana tusimamishe kazi zote ili kuangazia njia tutakayo tumia kuhakikisha ya kwamba pesa zinazopatikana kwa kaunti zinatumika kulipa bili zilizosalia. Na kwamba, zile kaunti ambazo hazitalipa bili zilizosalia kulingana na Kanuni 50(2) (3) ya Public Finance Management Act Regulations, ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus