Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 371 to 380 of 984.

  • 8 Mar 2023 in Senate: In the Statement, the Committee should- (1) Inform the Senate whether Kishamba B land in Voi Sub-County is community, private or public land and provide legal ownership documents in support of the same. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: (2) Explain whether the Kishamba B managing committee, constituted during establishment of the land as a group ranch still exists, stating the law upon which the management committee is established. (3) Apprise the Senate of the adjudication status of the land, stating whether orders were given to subdivide Kishamba B land, specifying the dates the orders were given, compliance by the management committee to meet the deadline and actions against the committee in the event of non-compliance. (4) Finally, provide a statement of account for Kishamba B for the last five years, detailing the compensation received by the management committee ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa hii fursa umenipa ili kuunga mkono Taarifa ya Seneta wa Mombasa, Sen. Faki, kuhusu kitendo cha Kampuni ya Nguvu za Umeme Nchini cha kukata stima katika hospitali ya Rufaa ya Mombasa. Ninakikashifu kitendo hicho kwa kinywa kipana kwa sababu ni cha kufa na kupona. Suala la kukata stima katika hospitali ya rufaa Mkoa wa Pwani, ni la kutamausha, kuhuzunisha na ni lazima tulikashifu vilivyo. Wale walio katika ile hospitali ni wake, waume au watoto wetu. Mtoto wako akiwa katika ile hospitali, akifa unaweza kuzaa mwingine, lakini yule tayari ashakufa. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Mke wako akiwa katika hosptali akifa kwa sababu ya ukosefu wa stima, unaweza kumuoa mwanamke mwingine lakini wa kwanza atakuwa ashakufa. Mume wako akiwa hiyo hospitali akifa, unawezaolewa na mtu mwingine, lakini yule mwingine ashakufa tayari. Bw. Spika, hili swala--- view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika, ni katika hali ya kukashifu kitendo cha Kampuni ya Umeme Nchini cha kukata stima. Hiki kitendo kinaweza kupelekea maafa na huwezi kupata maisha ya yule mtu ambaye umempoteza. Maisha ya mtoto yakipotea, huwezi pata mtoto mwingine kama yule. Bibi akifa, huwezi kupata bibi mwingine kama yule. Ndio maana ni kitendo cha kukashifu kwa kinywa kipana. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Katika kupinga na kukashifu kitendo cha Kampuni ya Umeme Nchini cha kukata umeme, tunaweza kupoteza maisha. Hilo ni view
  • 8 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: kweli. Ukipoteza maisha ya baba yako, huwezi kupata baba mwingine kama yeye. Ukipoteza maisha ya mke wako, hayo maisha ya yule mke wako wa kwanza yamepotea. Unaweza ukoa mwingine, lakini yule wa kwanza, ameenda. Hivyo ndivyo nilivyosema. Ni kauli mbiu kwa sababu ya kutilia mkazo katika kukashifu kitendo cha Kampuni ya Umeme Nchini cha kukata umeme ilihali huduma ya afya katika hospitali, inategemea stima. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus