Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 984.

  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika, ni katika kukashifu kile kitendo kwa sababu maisha yatapotea. view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika, hata kama mama yako ataolewa na mume mwingine na upate baba mwingine, yule mzee ashakufa tayari. Ningependa kujihusisha na matamshi ya Sen. Mandago ya kwamba jambo hili lilitokea kwa sababu ya ukiritimba wa kampuni hii ya umeme. Inafaa tulete Mswada katika Bunge hili ya kuwapa watu wengine haki ya kusambaza umeme. Hili tendo la kampuni hii ni kwa sababu ya ukiritimba; kwamba ni wao peke yao ambao wanasambaza umeme. Kungekuwa na mashirika mengine ambayo wanashindana nao labda hilo tendo halingetokea. Kwa upande mwingine ni lazima tujiulize swali hili. Je, Serikali ya Kaunti ya Mombasa imejizatiti namna gani kuhakikisha ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, vile wasemaji wengine wamesema, Hospitali ya Rufaa ya Mombasa inategemewa na kaunti zote za pwani. Hata kuna wagonjwa wanaotoka nchi za nje kuja kutafuta matibabu katika hospitali hii ya Mombasa. Kwa hivyo, ninaunga mkono. Kamati husika itakapoangalia hii Taarifa, ningependa na mimi nialikwe kama mhusika mkuu kwa sababu watu wangu wa Taita Taveta huenda hopitali hii kwa matibabu. Huenda miongoni mwao kuna watoto wadogo waliozaliwa au wagonjwa walio katika hali mahututi. Wanaweza kupoteza maisha yao kwa sababu ya utepetevu wa utendakazi wa wakurugenzi na wafanyikazi wa kamuni hii. view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity to comment and ride on the Statement by Sen. Wambua about afforestation and regeneration of our forests. It is a very important Statement given that most of the areas that had a lot of rainfall and water have now dried up. I come from a place called Wundanyi and we used to have springs but now we are seeing desertification. People are being supplied with water using water bowsers. It is a very important Statement and what we will be wanting to see from the Government of Kenya Kwanza is implementation. ... view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity to read this Statement. The Statement I intended to read first has gone through processing and the one I have here has really been dismembered. I was going to bring this Statement but it was dismembered when being processed. Since this one has come earlier I will read it and then follow the secretariat to see where the initial version is. The initial version was on someone who is obstructing water using Kenya Pipelines Company pipes without public participation. However, I am still going to read the one on Mzima Two ... view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Much obliged, Mr. Temporary Speaker, Sir. This Statement has gone through all the processes. It involves Mzima II. Sen. Cherarkey, what point are you trying to make by bringing Jevanjee Gardens issues here? view
  • 22 Feb 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, given what has been happening here, I do not want to go into many issues because I am not in the mood. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Mr. Temporary Chairman, Sir, I take this opportunity to respectfully oppose this amendment by Sen. Mumma on the strength that we do not know the calibre and qualifications of the people who are appointed by the Parliamentary Service Commission (PSC) and religious groups. Similarly, we do not know the qualifications and type of people who would come from the political parties. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus