19 Jan 2023 in Senate:
The one thing that I know is that the most qualified persons to do this exercise are the members of the PSC. In a game, there are what we call utility players. In the whole of this proposed IEBC Selection Panel, the most qualified person will be that one from the PSC. We would require a marking scheme or rubric to evaluate the IEBC commissioners to be. The person who would do that work perfectly would be a member of the PSC.
view
19 Jan 2023 in Senate:
I know Sen. Mumma wanted to cure the fact that we would have only one nominee from the PSC. However, the Chairperson of the Committee on Justice, Legal Affairs and Human Rights has removed the amendment. I will be comfortable to have two members from the PSC; one from the Minority and the other one from the Majority side. Therefore, I am comfortable with the initial Bill as it were. I thank you, Mr. Temporary Chairman, Sir.
view
30 Dec 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika kwa hii fursa hii. Ninashukuru Kamati kwa kazi waliofanya na ninashukuru Bunge hili kwa kunipa fursa ya kuwa kwa hiyo Kamati. Tuliangalia ule Hoja ya kumwondoa Gavana wa Kaunti ya Meru kwa kina. Watu wamezungumza na kusema ya kwamba, labda tuangalie mambo kadha wa kadha katika ile sheria ya impeachment . Kwanza ni, je, gavana anahitajika kufanya kazi kwa muda gani kabla ya Hoja ya kumuondea iletwe. Mambo ya muda hayana shida kwa sababu hata siku ya kwanza, unaweza kufanya makosa ya jinai. Kwa hivyo, muda ambao unahitajika Gavana afanye kazi ili Hoja ya wa kumuondoa iletwe, ...
view
30 Dec 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika kwa hii fursa hii. Ninashukuru Kamati kwa kazi waliofanya na ninashukuru Bunge hili kwa kunipa fursa ya kuwa kwa hiyo Kamati. Tuliangalia ule Hoja ya kumwondoa Gavana wa Kaunti ya Meru kwa kina. Watu wamezungumza na kusema ya kwamba, labda tuangalie mambo kadha wa kadha katika ile sheria ya impeachment . Kwanza ni, je, gavana anahitajika kufanya kazi kwa muda gani kabla ya Hoja ya kumuondea iletwe. Mambo ya muda hayana shida kwa sababu hata siku ya kwanza, unaweza kufanya makosa ya jinai. Kwa hivyo, muda ambao unahitajika Gavana afanye kazi ili Hoja ya wa kumuondoa iletwe, ...
view
16 Nov 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa hii fursa kuchangi Taarifa iliyosomwa na Seneta wa Kilifi Sen. Madzayo kuhusu shida iliyowakuba watu wa Kijiji cha Pindukiani, Kilifi Kaunti. Kisa kilichowapata watu wa Pindukiani kinaadhiri Wakenya nchi nzima. Watu tofauti wamepatwa na madhila haya kwa sababu wa mizozano ya mashamba. Migogoro ya ardhi hapa nchini imeongezeka. Kwa sababu ya mabwenyenye ambao wanatumia njia za mkato na zisizo za kisheria kunyakua ardhi za wananchi ambao ni maskini na kuwaacha katika shida na tabu nyingi. Nilikuwa mwanachama wa Kamati ya Ardhi katika Bunge la 12 na sasa katika Bunge hili la 13. Kuna Taarifa nyingi ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili ya kuunga mkono uteuzi wa Mkuu wa Polisi, Mhandisi Japheth Koome. Tunajua alifanya kazi nzuri sana wakati alikuwa Mkuu wa Polisi Nairobi. Ndio maana tunauunga mkono uteuzi wake kuwa IG. Jina lake ni la kutajika katika kila nyumba kwa sababu ya kazi nzuri aliyofanya na uzoefu alionao wa utendakazi wake katika idara ya usalama. Natumai kuteuliwa kwake kutasaidia kupambana na saratani ya ufisadi. Vita dhidi ya ufisadi nchini Kenya vinafaa kuungwa mkono na watu wote. Idara ya polisi, hasa ya ujasusi, inachangia pakubwa katika kumaliza ufisadi.
view
9 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Nov 2022 in Senate:
Kwa wale ambao tumeishi nchini Kenya kwa miaka mingi, tunajua kuwa ukianzisha biashara yoyote, polisi ndio hupata faidi kubwa. Kama ni biashara ya daladala, utakuta polisi wako. Nashukuru kwa kuwa alisema kuwa akiwa IG, sare za askari hazitakuwa na mifuko. Hiyo itasaidia kuondoa uchukuaji ama upokeaji wa hongo kwa polisi barabarani. Utoaji hongo ni jambo linalochangia kupunguza faida ya biashara ya matatu. Wale walio na biashara ya vilabu pia huangaishwa sana na maaskari. Janga lolote likitokea, wao pia hujaribu kuona jinsi ya kunufaika. Nakumbuka sheria za kuzingatiwa wakati wa korona zilipowekwa, kule kwetu kuna maaskari waliokuwa wanafukuza watu kwa sababu ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
Ni vyema kufurahi mambo mengine yakitendeka kwa sababu ajali kama hizo ni za kujitafutia. Je, mtu anafaa kuvaa barakoa akiwa shambani? Kwa sababu ya mazingira ya kufanya kazi na mtazamo wao kuwa lazima wapate kitu kidogo, siku hiyo walipata hasara. Mhandisi Koome anafaa kuangazia mazingira ya kazi ya maafisa wa polisi kwa sababu kazi wanayofanya ya kutulinda siyo rahisi. Kulingana na sheria, hawaruhusiwi kujiunga na vyama vya wafanyakazi au trade unions. Itabidi aangalie masuala ya utendakazi wa maafisa wa polisi kwa sababu wanatusaidia katika usalama na kukabiliana na vitendo vinavyochangia kuwe na utovu wa usalama. Nafikiri kuwa kuna motisha kidogo ...
view
19 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for this opportunity to raise this Statement on human-wildlife conflict in Taita Taveta County.
view