19 Oct 2022 in Senate:
I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources concerning the incessant human wildlife conflict in Taita Taveta County. In the Statement the Committee should- (1) Outline the long-term strategies put in place by the KWS to ensure that the encroachment of wildlife into residential areas and farms is dealt with permanently. (2) State the measures and interventions in place to compensate families affected by human wildlife conflict with specific reference to victims of deaths, snake bites and crop destruction which were removed from the list of ...
view
13 Oct 2022 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika kwa hii fursa ili kuchangia kwenye hii Hoja kuhusu orodha za kamati. Kazi nyingi ya Bunge hufanywa katika kamati. Huwa tunaleta ripoti kutokana na kamati. Kazi ya Mbunge ni kutunga sheria, uangalizi na uakilishi. Katika miaka yangu mitano ambayo nimefanya kwenye Bunge la Seneti, tumefanya kazi nyingi kwenye hizi kamati. Nashukuru kamati za hapo awali. Tumeenda Taita Taveta Kaunti na kamati tano na kufanya kazi nzuri kwa wale wananchi. Ningependa kujihusisha na matamshi ya Seneta wa Nyamira wakili Omogeni aliposema kwamba uongozi wetu ambao umewekwa, uko na tashwishi. Alisema uongozi wa walio wengi ni mzuri. Nashukuru ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, on a point of order.
view
11 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. It is not about Sen. Dullo’s contribution. I am trying to see how we are doing in terms of time. It is 5.15.p.m. and there are several people who are supposed to contribute. If we continue with this pace of 15 minutes, we will get six people to contribute and we could be having more contributors who want to contribute to the Presidential Speech. I move that we reduce the time. Pursuant to Standing Order No.1, we can see how to disallow points of orders because they are eating into our time yet there ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker. I beg to move the following Procedural Motion - THAT, pursuant to Standing Order No. 34(4)(a), the Senate resolves to extend its sitting time today, Tuesday, 11th October, 2022 until the conclusion of the Business appearing in Order No.8 in today’s Supplementary Order Paper. Mr. Deputy Speaker, Sir, this Procedural Motion has been occasioned by the fact that we are heading towards 6.30 p.m., yet there are many Senators who want to contribute to the President’s speech. All the Senators would want to contribute to the Speech, tweak it together with the promissory note around ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nakushukuru kwa hii fursa umenipa ili kuchangia hotuba ya Rais katika ufunguzi wa Bunge la 13 ya Jamhuri ya Kenya. Hii hotuba imesemekana na wachanganuzi kwamba ilikuwa fupi zaidi kati ya hotuba zote katika historia ya Kenya. Ningependa kusema ya kwamba hii hotuba ilikuwa fupi na ilikuwa nzuri. Sio lazima hotuba iwe ndefu ili iwe nzuri. Vitu vinaweza kuwa vifupi na vizuri. Bw. Spika wa Muda, hii hotuba ilikuwa ni ya kutupatia mwelekeo wa uongozi wa rais kwa kipindi cha miaka mitano hasa kuangazia mambo ya uchumi. Riwaza za pande zote mbili; Azimio la Umoja na ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
ndio ilipita. Kwa hivyo, letu kama Bunge ni kuangalia namna tunaweza kushikilia serikali ili watimize yale ambayo waliahidi wananchi katika ruwaza yao.
view
11 Oct 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, Rais alianza kwa kupongeza viongozi waliochaguliwa. Kwa hivyo, ningepeda kuchukua fursa hii kuwashukuru wananchi wa Taita Taveta kwa kunichagua tena kwa awamu ya pili kwa sababu wanaamini uongozi wangu. Pia, nachukua fursa hii kuwapa kongole Maseneta wote waliochaguliwa na wananchi na vile vile wale walioteuliwa kuwakilisha vikundi tofauti. Vile vile, nampongeza Rais kwa kuchaguliwa kama Rais wa Jamhuri ya Kenya. Watu husema kuwa katika kila mashindano, lazima kuwe na mshindi na mshinde. Katika aya ya tatu, Rais alisema kwamba Serikali yake itashirikisha maeneo yote ya Kenya katika uongozi. Alipendekeza kuwe na Mawaziri 22. Hata hivyo, kuna ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 Oct 2022 in Senate:
hivyo, namwomba Rais aangazie maeneo ambayo yaliachwa nyuma katika uongozi kama vile Jimbo la Taita Taveta ndio angalau tuwe na Katibu Mkuu au hata CAS. Bw. Spika wa Muda, aya ya 21 inaangazia mambo ya kutoa ruzuku na pembejeo, haswa mbolea. Rais aliamuru bei ya mbolea kushuka kutoka Kshs6,500 hadi Kshs3,500. Namshukuru Rais kwa jambo hilo. Jinsi wengine walivyosema, hii si mara ya kwanza kwa Rais kushukisha bei ya mbolea. Mwaka wa 2008, akiwa Waziri wa Kilimo katika Serikali ya “Nusu Mkate”, alishukisha bei ya mbolea kutoka Kshs6,000 hadi Kshs2,400. Vile vile amefanya hivyo. Kushukisha bei ya mbolea pekee hakutasaidia ...
view