9 Sep 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker, you know in the previous one---
view

I am respecting the Temporary Speaker. What is wrong with you?

Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa hii fursa kumshukuru Sen. Kinyua kwa kuleta hii Taarifa ya utovu wa usalama katika Kaunti ya Laikipia. Kwanza, ninatoa rambirambi zangu na za watu wa Kaunti ya Taita-Taveta kwa familia na watu wa Laikipia kwa kuwapoteza wapendwa wao kwa sababu ya utovu wa usalama.

Pili, ninakashifu kwa kinywa kipana, matukio yanayopelekea watu wa Kaunti ya Laikipia kuteswa katika Karne ya 21, kwa sababu ya Serikali kushindwa kudhibiti hali ya usalama. Matamshi ya Mshirikishi wa eneo la Bonde la Ufa ni ya kuudhi na kukashifu. Alisema kwamba silaha za polisi wa Kenya ni za hadhi ya chini kuliko za wale wahalifu. Ningependa kumwambia Bw. Natembeya na Serikali kwa jumla kuwa kama hawana silaha za hadhi ya juu, swala sio kulilia vyombo vya habari. Wanatakiwa kutafuta hizo zana za hadhi ya juu na kupea jeshi la Kenya ili wadhibiti usalama katika jimbo la Laikipia.

Bw. Natembeya pia alisema hatuwezi kuwa na polisi katika kila pembe ya Kaunti ya Laikipia au nchini Kenya. Ningependa kumpa mawaidha, kwamba ni kweli hatuwezi kuwa na polisi kila mahali. Hata hivyo, tunao ujajusi na Mkuu wa Ujasusi nchini Kenya anafanya kazi yake. Je, huo ujasusi tunaufanyia nini?