9 Sep 2021 in Senate:
Vile wengine wametangulia, na mimi pia nasema kuwa Kamati ya Usalama wa Nchi, Usalama na Mahusiano ya Kimataifa iwaite Waziri wa Usalama wa Ndani Nchi, Bw. Natembeya na Mkuu wa Ujasusi waje huku waelezee watahachofanya. Maisha ya watu wa Kaunti ya Laikipia yako hatarini na hatutaki kumpoteza hata mtu mmoja zaidi. Kama askari walio Kaunti ya Laikipia hawatoshi, basi tuchukue polisi kutoka maeneo mengine ya Kenya ambayo hayana shida ya usalama. Kaunti ya Taita-Taveta hatuna shida ya utovu wa usalamaa. Polisi wengi wako huko wanashika tu wananchi wa
view

wanaojitafutia kipato na wazee na kina mama wanaolima shambani bila barakoa. Hatuhitaji maaskari kama hao kule Kaunti ya Taita-Taveta. Wapelekwe Laikipia kuangalia hali ya usalama. Katika Karne ya 21 haitakikani tuwe na economic activity ama njia ya kujitafutia kipato kupitia kuiba ng’ombe. Tuweke elimu mbele, tuangalie njia mbadala na tufanye utafiti wa kutosha ili jambo hili la wizi wa mifugo liishe mara moja. Kwa kumalizia, tuite hizi taasisi zote za usalama ili tuwaulize maswali magumu hapa katika Seneti na tuwe na kamati ya Bunge zima . Tukiuliza maswali rahisi maisha ya watu wa Laikipia yatakuwa magumu. Lakini tukiuliza maswali magumu, ...

5 Aug 2021 in Senate:
Madam Temporary Chairperson, I beg to move that the Committee do report to the Senate, its consideration of the Wildlife Conservation and Management Bill (Senate Bills No.30 of 2020) and its approval thereof with amendments.
view
5 Aug 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to move that the House do agree with the Committee in the said report. I ask Sen. (Eng.) Mahamud to second.
view
5 Aug 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to move that the Wildlife Conservation and Management (Amendment) Bill (Senate Bills No.30 of 2020) be now read a Third Time. I request Sen. Sakaja to second.
view
5 Aug 2021 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. On behalf of Sen. Faki, I rise, pursuant to Standing Order No.47 (1) to make a Statement on an issue of general topical concern, namely, the mistreatment of Kenyans working on board Chinese-owned fishing vessels. The vessels, though Chinese-owned, are registered in Kenya and operated by Messrs. Ziegan Enterprises Limited, a Kenyan registered company. Madam Temporary Speaker, the beneficial owners of these vessels are Qinsdad Yung Tung-Pelagic Fisheries Limited and the Shipping Agent is Mombasa Ocean Agency. The company owns seven fishing vessels and trawlers, namely- (1) Lu Qing Yuan Yu 151; (2) Lu Qing ...
view
5 Aug 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view