7 Jul 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I rise pursuant to Standing Order No.48 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations concerning the non-conferment of citizenship to foreigners married to Kenyans. In the Statement the Committee should: (i) Explain why foreigners married to Kenyans have not been conferred with Kenyan citizenship as per Article 13(2) and 15(1) of the Constitution. (ii) State when women in Taita Taveta County mostly from Tanzania as well as other foreign countries who are married to Kenyans will be conferred with Kenyan citizenship upon verification of their marital status documents. ...
view
3 Jun 2021 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili kuchangia na kuunga mkono huu Mswada wa kufanya mji wa Nakuru kuwa mji mkuu. Naunga mkono kwa sababu mbili; ya kwanza ikiwa ni kwamba ule mji wa Nakuru umetimiza vile vigezo vyote vya kuwa mji mkuu. Vigezo hivi huwa ni idadi ya watu na vile wamejitayarisha kutoa kwa mfano maji taka na kadhalika. La pili, napenda kuunga mkono mji ule kuwa mjii mkuu kwa sababu Seneta wa Kaunti ya Nakuru, Sen. Kihika amekuwa katika mstari wa mbele pia kupigia upato ule mji wa Nakuru kuwa mji mkuu.
view
3 Jun 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
3 Jun 2021 in Senate:
La haula ni vizuri niseme kwamba tungependa huu mji uwe mji mkuu lakini usifanywe kuwa mji mkuu sasa hivi. Kwa sababu ninapo ongea huku, kuna ripoti ya Kamati ya Kazi na Ustawii wa Jamii ambayo ni kamati ya Nyumba hii. Nikiwa ni naibu wa mwenyekii wa hiyo kamati, tuko na pendekezo la kusema kwamba hatungependelea kwa sasa ule mji wa Nakuru kuwa mji mkuu kwa sababu ya matukio yaliyotokea kule Nakuru ya kutoa watoto wadogo na zile familia za mijini na kuwatupa katika misitu. Bw. Spika, kwa hivyo wakati mara kwa mara tunapokuwa na Maombi ama petitions za wananchi wetu, ...
view
2 Jun 2021 in Senate:
Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia ardhilhali ya Bw. Mageuzi. Kusema kweli, ufisadi umekithiri katika serikali za ugatuzi. Ninakubaliana na Sen. Wambua aliposema kwamba tuligatua ufisadi; kwamba kati ya yale mambo ambayo tuligatua, kubwa zaidi ilikuwa ufisadi. Ufisadi umekithiri katika serikali za ugatuzi, na ninashukuru kwa sababu wananchi wameanza kuona kuwa sio lazima uangalizi ufanywe na mabunge za kaunti. Wananchi wenyewe wanaweza kuchukua hatua kuhakikisha kwamba uangalizi umefanywa vizuri. Kusema kweli, katika serikali za ugatuzi, ufisadi umepewa kipaumbele. Fedha zinazoenda kusaidia wananchi haziwafikii na kutumiwa kwa lengo lililokusudiwa. Nakubaliana na wenzangu waliosema kwamba kuna miradi mingi ambayo ...
view
2 Jun 2021 in Senate:
ambazo zilikuwa zinajengwa. Baada ya kupata Ksh153 milioni zikiwa pesa za COVID-19, bado hiyo hospitali haijakamilishwa mpaka leo. Laini ya kwanza ya uangalizi ni ya wajumbe wa kaunti kwa sababu mara kwa mara kunapotokea ufisadi, wananchi wanaangalia Seneti sana. Ninashukuru kwa hiyo imani wananchi walio nayo kwa Seneti kufanya uangalizi. Lakini uangalizi wa kwanza unatakikana kufanywa na mabunge ya kaunti . Bi. Naibu Spika, la kusikitisha ni kwamba wajumbe wa serikali za kaunti wamenunuliwa na kuwekwa kwa mfuko na magavana. Sasa hakuna uangalizi wa kutosha unaofanyika katika serikali za ugatuzi. Kwa hivyo, ninawaomba wananchi ambao wako kule mashinani wachukue hatua ...
view
2 Jun 2021 in Senate:
Madam Temporary Speaker, thank you for this opportunity to thank all the Members for contributing towards this amendment Bill. We have had quite a good discussion surrounding this amendment from the first day to this day. I would like to thank all those who participated. We have had very robust discussions. What is happening in our counties is not good at all. We are cohabiting with wild animals and we are not getting the benefits from these wild animals. Most of what we are getting is suffering from wild animals as a result of human-wildlife conflict. I would like to ...
view
2 Jun 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
2 Jun 2021 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I would like also to thank the proposal that the compensation should be immediate instead of the one year that we proposed in that amendment. Although it is clear that it might take time, Sen. Olekina, to do the budgeting and put enough money in place since our budgets are done yearly. It might take a bit of some time to put adequate funds for the compensation. However, if we know the approximate amount of claims each year that we get from the people who live around the conservation areas, still we can approximate to see ...
view
25 May 2021 in Senate:
Asante, Bw. Spika kwa kunipa hii nafasi ili kupitisha salamu za faraja kwa familia na wana Nairobi kwa ujumla, kwa kumpoteza mchezaji mashuhuri wa raga, Bw. Benjamin Ayimba. Yeye alifanya bidii akiwa mwanamchezo mashuhuri wa raga na alichangia pakubwa kuweka jina la Kenya katika ramani ya dunia. Bw. Ayimba alikuwa ni mkufunzi mzuri ambaye alikuwa na nidhamu na nguvu kama mchezaji, ambaye nguvu zake ni za kuigwa. Nikiwa mimi ni mkufunzi wa mchezo wa kandanda na kama wakufunzi wa michezo mbalimbali, tunafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kwamba wanamchezo wanapata ujuzi wa kucheza lakini kando na ujuzi peke yake, kuna yale ...
view