5 Jul 2016 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I am the last born child to be baptized with police brutality. I am asking for two minutes to explain this to Kenyans and four minutes to explain what happens in this country. First, I was surprised to see the Director of the Criminal Investigations Department (CID) before a magistrate. He said that this country has brought the Federal Bureau of Investigation (FBI) to assist with the investigations. This is evidence that The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the ...
view
5 Jul 2016 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I conclude by saying---
view
5 Jul 2016 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I am concluding. I will sit down. I am just giving the last word. We want fairness. We want those people to be prosecuted without delay.
view
7 Jun 2016 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. It is funny to see Sen. Murkomen denying what is so obvious.
view
7 Jun 2016 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, is he in order to deny what is really obvious? The information came all the way from the UK stating that Isaack Hassan is involved in the highest degree of corruption and he is defending him. Is he in order?
view
19 Apr 2016 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. When someone makes a trip to Meru and the person does not get any opportunity to challenge the organizers of that meeting but he or she is made to sit, listen and told how the men qualify to steal public funds, is that not loitering?
view
12 Apr 2016 in Senate:
Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Je, ni haki kwa Sen. Kisasa kuwaita wakimbizi wa ndani ambao tunajua ni waathiriwa, wakimbizi wa kisiasa? Hawa ni masikini walioathirika kutokana na vita vya ndani vya kisiasa. Walitimuliwa kutoka makao yao. Wengi wao sasa ni masikini wa Mungu. Hawana mashamba au makao yao. Watu waliathirika na wengine wakafa.
view
12 Apr 2016 in Senate:
Kwa hoja ya anidhamu, Bw. Spika wa Muda. Si kuzungumza kuhusu hatua zitakazowafaidi watu hawa, bali nimesema si haki kwa yeye kuwaita wakimbizi wa kisiasa. Ningependa kumkosoa Sen. Kisasa kuwa watu hawa si wakimbizi wa kisiasa lakini ni waathiriwa wa vita vya ndani. Waathiriwa wale ni wananchi ambao hawana hatia bali wamewekwa katika mashaka na matatizo.
view
12 Apr 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ninakushukuru kwa nafasi hii uliyonipa ili niweze kuchangia Hotuba ya Mhe. Rais Kenyatta. Sikufika siku hiyo Bungeni lakini nilitazama yote yaliyofanyika katika runinga. Kuna maswala mbalimbali ambayo yalinikera na si kwa sababu za kisiasa bali kwa kuwa mimi ni mwananchi wa Kenya. Niko hapa na nitazidi kuwa hapa mpaka siku aipendayo Mwenyezi Mungu. Bw. Spika wa Muda, kuna mambo yaliyotokea. Mojawapo ni kasheshe iliyotokea Bungeni. Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Kitaifa walizua taharuki. Wengi waliwashambulia na kumlazimisha Spika wa Bunge kuwatimua. Hata mwingine alifukuzwa. Inasemekana kwamba atakuwa nje kwa kipindi cha zaidi ya siku 90. ...
view
12 Apr 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, Kiswahili ni lugha ngumu kwa Sen. Elachi. Rais ni mgeni katika Bunge na hakuna Mbunge anastahili kuadhibiwa kwa kufanya kazi yake bungeni kwa sababu mgeni yuko pale. Ikiwa katika historia yetu, tunaanza mambo kama haya, basi, nchi hii inarudi nyuma katika mipango yake ya kidemokrasia. Rais alizungumzia mambo ya wanajeshi wetu walioko nchini Somalia. Kwanza, ninamuunga mkono Rais. Mipaka yetu, ulinzi wetu, imani na amani yetu lazima ilindwe kwa vyovyote. Tunastahili kuilinda nchi yetu. Mtu akituchokoza hapa, tunafaa kumfuata mpaka kwake kwa sababu tuna uwezo, nia na namna kama Wakenya. Lakini hata hayo yakiwepo,ukimfuata adui, humfuati ...
view