6 Oct 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa nafasi nzuri ili niweze nami kuchangia Hoja hii ya maana ambayo imeletwa na Mwenyekiti wa Elimu, Sen. Karaba. Maswala yaliyozungumziwa hapa na wenzangu yana uzito mkubwa sana. Kwa kweli ukiangalia, nchi inaelekea njia panda ikiwa inatafuta suluhu ya matatizo ya elimu ya watoto wetu. Nilipopata ripoti hii, nilifululiza mpaka ukurasa wa 21, kipengee cha 233. Sehemu ya kwanza ya haki inasema kwamba elimu ni haki ya kikatiba kwa kila mwanacnchi. Elimu ni haki kwa kila mtu kwa mujibu wa Katiba. Serikali yoyote ina jukumu la kuangalia kwamba, jambo hilo linathibitiwa vizuri na wananchi wanategemeo ...
view
6 Oct 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Mda, nakanyanga zulia, yule mtoto ninayewakilisha na ninasema ninapokula kiapo cha mwenyezi Mungu, asilimia 10 ya watu wa Machakos, watoto ambao wazazi wao walinituma hapa wanasomea chini ya miti. Kuwe jua au mvua, anapata taabu pale. Ni ile ile serikali iliyonipatia hili zulia imeniwekea maji hapa. Yule mtoto ninayemwakikilisha na mamake amenituma hapa nimsaidie nimtoe kwenye ugandamizaji wa umaskini na utumwa, bado mtoto wake hana mahali pa kuenda. Pia, ni hii serikali inayoenda kukopa Ksh400 bilioni kujenga reli ambayo itatumiwa na mabepari kwa sababu asilimia 10 ya watoto hao masikini ambao hawatapata elimu – tuseme ukweli – ...
view
6 Oct 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ninamalizia kwa kusema kwamba mambo hayo yalihuzunisha taifa. Tumeshangaa lakini tena ni kafunguliwa mashtaka ya pili kwa kusema kwamba huyu Waziri anayelindwa na Ofisi ya Rais namna hii, kwani yake ni ya asali na iliyoongezwa sukari?
view
4 Oct 2016 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, ninakushukuru kwa nafasi hii ili nami niungane na wenzangu kwa kutuma rambirambi kwa jamaa na marafiki wa marehemu Bamahriz. Huyu shujaa alifanya kazi ya ukombozi wa pili wa taifa letu ambao uliibua vyama kama The National Alliance (TNA), United Republican Party (URP), Jubilee na vyama vingine vyote. Ni kwa sababu ya kazi aliyofanya marehemu Bamahriz. Alikuwa shujaa. Ninakumbuka wakati mmoja Rais Moi alisema: “Huyu Mwarabu ana lugha mbaya sana ya kusumbua watu. Ikiwezekana, anaweza kurudi kwao Yemen.” Sijui Rais Moi alijuaje kwamba marehemu Bamahriz alitoka Yemen. Hata hivyo, Marehemu Bamahriz alisema: “Mimi nataka tupande ndege moja ...
view
14 Sep 2016 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I want to pose a question based on the signed lease. I base this on my experience as a serious landlord. When you sign a lease to rent a property you take it the way it is. The value is based on the cracks appearing and the leakages on the roof. That is where you signed the contract. The assessment must be done after the renovations to look at the cost. I want the counsel to consult the Governor and come out with some clear answers on why the valuation was done after the lease was ...
view
13 Sep 2016 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. You led the Plenary up to Charge No.6 and then there was an intervention by Sen. Wamatangi. You did not continue from Charge No.7 to No.10.
view
13 Sep 2016 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. The document that the witness is being referred to by the Counsel has page 266 (a) and 266(b). Could he clarify which one he is referring him to so that we can read from the same page?
view
13 Sep 2016 in Senate:
Mr. Speaker Sir, I want to raise one issue. It involves the squandering of Kshs352,976,913 and another Kshs70 million. This brings a total of Kshs422,976,913 million. There is a ruling that was given by a Judge recently where he said a person cannot pluck an amount of money there without evidence and ask someone to pay. For this amount to be written here, a forensic audit probably could have been done and establish who exactly received this money. For money to be withdrawn from the account it is either through a cheque that has been paid to someone or the ...
view
8 Sep 2016 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, this is the first time that the Senate is dealing with such an issue in the plenary. Let me liken what will be taking place here from Tuesday with the Select Committee that just concluded its work on matters to do with the IEBC and elections. Normally, the mode of debate in this House is that time is allocated to every contributor. Taking into consideration that the Governor will be here to be interrogated, the Office of the Speaker needs to come up with guidelines on how to deal with that matter. Otherwise, it could be an ...
view