27 Jan 2009 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, today, I went to Kenya Broadcasting Corporation Ja nuary 27, 2009 PARLIAMENTAR Y DEBATES
view
20 Jan 2009 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kumshukuru sana Rais wa Marekani ambaye amechaguliwa, na ambaye ni mwenye asili ya hapa kwetu Kenya. Mtu aliyemsaidia babake kupata scholarship, marehemu Thomas Joseph Mboya, alizaliwa katika eneo langu la Ubunge. Babake alikuwa akifanya kazi ya kukata mkonge kwetu. Tuna historia kubwa sana!
view
20 Jan 2009 in National Assembly:
Ile sehemu alipozaliwa ndipo alimoishi Rais wa Marekani, Bw. Roosevelt. Kwa hivyo, ninajivuna sana na kujisikia kwamba nina uhusiano mkubwa na kaka yetu ambaye ameshinda urais katika nchi ya Marekani.
view
20 Jan 2009 in National Assembly:
Nataka kusema kwa kifupi kwamba kuchaguliwa kwake Bw. Obama kulitokana na matamshi yake ya kweli, kusikia sauti ya Wamerikani na kuwaambia pahali wanapoelekea na kule anakotaka kuwapeleka. Nataka kuwaomba viongozi wote, hasa wanaotaka uongozi wa nchi hii, tafadhali wajifunze; katika kampeni zitakazokuja, Mungu akitujaalia, tuwe na viongozi ambao wanaweza kutuahidi mambo watakayoweza kuitendea nchi hii. Hatutaki kuombwa kura na watu kwa sababu wamejaribu mara nyingi, wamekuwa pale, ni wazee au wanataka kulipwa kwa kazi waliofanya. Naomba tuwe na viongozi watakao omba kura kwa sababu watakuwa na maono kama kutuambia kuwa kwamba wakiwa rais watatupa elimu, na waahidi kwamba wasipofanya hivyo ...
view
17 Dec 2008 in National Assembly:
Asante Bw. Naibu Spika. Nasimama kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa wakati alionipa kuona mwaka huu ukiisha, kuwa hapa Bungeni na kuwa na marafiki wengi na kuweza kuchangia Hoja nyingi, na kwamba yote haya yameenda sambamba. Bw. Naibu Spika, nataka kuzungumzia masaibu ya wananchi tukifunga mwaka. Nataka kusema kwamba hivi sasa tukifunga mwaka kuna wananchi waliofurushwa kutoka makwao na bado wanakaa viwanjani. Wanazalia viwanjani na kuumwa na mbu, ilhali sisi tuko hapa. Tunapofunga mwaka na kusema tunaenda likizo, tunawaacha watu wale wakiteseka. Sisi tunaenda Krismasi na hata tunatuma salamu, lakini tunasahau kwamba kuna wananchi ambao ni wakimbizi wa kisiasa katika ...
view
10 Dec 2008 in National Assembly:
Thank you, Madam Temporary Deputy Speaker. I also rise to raise a few points in support of this Motion. It is quite important for us, as leaders, to understand the people we are leading. It is important for us to understand their abilities and capabilities. Today, Kenya has two classes of people. That is not a secret. The reason I say this is because the Government has been forced to come up with two different prices of one commodity. As a leader, I find it extremely difficult to explain to the people I represent why a packet of two-kilogrammes maize ...
view
10 Dec 2008 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, Mr. K. Kilonzo has just walked in. This issue is very important to me. It is not a joke. We need to control prices and be firm on it. We need to give Kenyans what they deserve. Kenyans cannot be left in the hands of a small cartel that is out to rob them for the sake of making money. The Government must be serious. I support the price control with all my soul and body. With those few remarks, I beg to support.
view
26 Nov 2008 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Taking into account that the House has to adjourn at 5.30 p.m. and now, looking at the clock, it is 5.15 p.m., could I kindly request you to call upon the Mover to reply?
view
26 Nov 2008 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir.
view
26 Nov 2008 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I want to refer to Standing Order No.80. I just want to read the first few lines---
view