Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 171 to 180 of 1060.

  • 10 Nov 2015 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. This Bill has generated a lot of interest. It is obvious that in the Rules and Business Committee (RBC), we have been trying to see how we can deal with business of this House as quickly as possible. Would I be in order to request the Chair to reduce the time from 20 to 10 minutes? Let Sen. Kagwe be given his 20 minutes but from there on, at least let us spend 10 minutes per speaker so that we conclude this business today and have some time for the Mover to ... view
  • 10 Nov 2015 in Senate: Madam Temporary Speaker, let us try to use 10 minutes per speaker so that we can have a chance for each one of us to contribute and then conclude the business today. view
  • 10 Nov 2015 in Senate: Bi Spika wa Muda, ninaunga mkono Mswada huu. Mwaka wa 2004, kabla sijaingia Bunge, nakumbuka vizuri nikisoma na kusikiliza vyombo vya habari vikisema kwamba Mswada wa kuwapa watoto wa maskini na hasa wale ambao hawajapata stakabadhi zao nafasi ya kuzipata umepitishwa Bungeni kwa juhudi zake Sen. Musila. Mwaka wa 2008, niliingia Bungeni na Sen. Musila akiwa Mbunge wa Mwingi alilifufua jambo hili na likazungumziwa mara ya pili. Katika Seneti hii sasa, jambo hili limekuja hapa, limezungumziwa, limepitishwa na leo tunalijadili jambo hilo tu. Swali ni; je, ni nani ambaye hafanyi kazi yake katika taifa letu? Hatufai kuzungumza sana juu ya ... view
  • 10 Nov 2015 in Senate: Bi Spika wa Muda, kazi ya chura ni kazi ya kusafisha vyoo. Tunaibatiza isiwe chafu sana. Hiyo ndio kazi ya chini sana ambayo mtu anaweza kuuliza, lakini bila kuwa na stakabadhi hauwezi kuipata. Hii ndio maana tunasimama na kusema kwamba ili tuwe taifa ambalo lina muongozo, Serikali ijaribu kujimudu iwezavyo. Mimi na wenzangu hapa Bungeni, tumefanya siasa kwa miaka mingi, huku tukikemea magendo na rushwa katika Bunge la Kumi. Wengine walikuwa mstari wa mbele nikiwaunga mkono na wakiniunga mkono pia lakini leo hii ninashangaa kiwango cha hali ya magendo katika taifa letu na uporaji wa mali ya umma. Hivi sasa, ... view
  • 6 Nov 2015 in Senate: Mr. Speaker, Sir, this House appointed 11 Members of this Committee, but we have three Members inside the House. We are being told that the report is being typed, screened and finalized. The same report has to come to you. How are we going to trust a report by eight Members instead of 11 Members of this Committee? Are we going to go back to the debate with some of them claiming they did not see the final report or that they left when it was being done? The whole country is watching us. There is no other business that ... view
  • 13 Oct 2015 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nimeshangazwa kuona kiongozi wangu akisimama mbele ya Seneti hii na kusema kwamba wanaozungumza Lugha ya Kiswahili sanifu na yenye ufasaha ni yeye na Spika. Amesahau kwamba tukiwa Kenyatta International Convention Centre (KICC), County Hall, na hata hapa hajawai kutoa taarifa hata siku moja kwa Lugha ya Kiswahili. Mhe. Spika wa Muda, kama kuna watu wanafaa kutajwa kwa kuzungumza Kiswahili ni mimi na nimeshangazwa kuwa amenisahua. Yapaswa kuwa wewe na mimi na wengine wanafuata. Yeye ana jaribu kuweka masafa ya kufuatilai lakini hayatafua dafu. Amekosea na yafaa arekebishe. view
  • 13 Oct 2015 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Kiongozi wangu badala ya kusema kwamba ni baadhi au moja wapo ya lugha zinazotumika katika kimataifa na anasema ni part ya. Ni Kiswahili gani hicho?Arekebishe au asirekbishe? view
  • 13 Oct 2015 in Senate: Ninashukuru sana kwa nafasi hii, Bw. Spika wa Muda. Nimesikiza waheshimiwa waliozungumza na walioshindwa kuzungumza Kiswahili. Niligundua kwamba umoja wa taifa hili uko mbali. Hii ni kwa sababu kitu kimoja kinachounganisha watu ni lugha ambayo wanatumia. Tumekuwa tukitumia Kiingereza hadi maeneo ya kata. Utapata mtu anaongea na wananchi kwa dakika tano au kumi kwa lugha ya kigeni. Wananchi wataelewa asilimia mbili tu ya maneno yaliyosemwa. Hawataelewa asilimia 98 ya yaliyosema. Natoa mwito kwamba tukienzi Kiswahili kwa sababu Kiswahili kimeunganisha nchi ya Tanzania. Kiongozi yeyote anayekwenda mashinani hueleweka kila anapozungumza katika mkutano. Ni jambo muhimu kuwa tujifunze na kukikuza Kiswahili ili ... view
  • 13 Oct 2015 in Senate: Bw. Spika wa muda, nakubaliana nawe lakini nilikuwa tu natoa uwazi kwamba kutokana na Hotuba ya Rais Kikwete, alitaka tuungane kama Watanzania. Kwa hivyo, kama tutakubalike na mataifa mengine, ni lazima tutembee katika misingi ya usafi na kufanya mambo yanayolingana na uongozi unaotakiwa. Taifa letu la Kenya, tukiungana na wenzetu na kufanya kazi nao, ni lazima tuhakikishe tunaheshimiwa kule nje. Ndugu yangu, Sen. G.G. Kariuki, amesema jambo la maana sana ya kwamba, si kwamba rais akiwa wa kabila fulani, kabila hilo litakuwa salama. Ni lazima Wakenya walindwe na sheria zilizoko. Leo hii, tumepoteza mwelekeo. Nimewasihi ndugu zangu wa mrengo wa ... view
  • 29 Sep 2015 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, ninashukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa ili niunge mkono ndugu aliyeleta jambo hili hapa. Jambo hili ni muhimu sana kwa sababu limekuwa kizingiti kikubwa kwa Wakenya, hasa wakati wa kupiga kura. Kama ilivyo, ni lazima mwananchi yeyote apate kitambulisho ili awe mwananchi wa taifa hili. Kitambulisho hicho kitamwezesha kutafuta kazi, afungue akaunti katika benki na kufanya chochote. Ni wazi kwamba ni lazima mwananchi yeyote kuandikishwa kama mpiga kura. Ikiwa hana kitambulisho, basi hawezi kupata huduma ya taifa. Tunalalamika na kupiga kelele kwamba viongozi ni wabaya, lakini wanaochagua viongozi ni wachache sana. Walio na maono ya kuchagua ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus