23 Apr 2013 in Senate:
Bw. Spika, wale ambao wanasimama kwa hoja za nidhamu ni----
view
23 Apr 2013 in Senate:
Bw. Spika, naona kwamba wengi wetu hapa hatuelewi demokrasia ni nini. Rais katika Hotuba yake, ukurasa wa 18, alisema kwamba sisi tunaweza kuwa na mawazo tofauti. Unaruhusiwa kusema unavyofikiria. Hiyo haiwezi kutufanya tukawa maadui. Ni lazima tuungane na kuwa taifa moja. Mawazo hayo, kwa wengine, ni wimbo ulioimbwa na kasuku ili wengine wafurahi. Serikali iliyoondoka ilikuwa na msimamo wa maneno kama hayo. Nasikitika sana kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
23 Apr 2013 in Senate:
Bw. Spika, barabara ninazozungumzia ziko nilivyosema. Huo ni ukweli wa mambo. Kwasababu tumeingia katika Serikali ya ugatuzi, tumeona dalili za kutaka kuziharibu Serikali hizo ya Ugatuzi. Ni katika kupitia Serikali za Ugatuzi ambapo sehemu unayowakilisha itafaidika na kuijenga Serikali. Hadhari tunaoyoona na ambayo tunafaa kuitoa kwa uwazi ni kwamba atakaye dhubutu kucheza na Serikali ya Ugatuzi ambayo inawakilisha muafrika ambaye hana wa kumujalili, kutakuwa na kizaazaa kikuu. Kwa hivyo, wanaozungumza hawafai kuona hii ni kama siasa za mzaha. Tumechaguliwa kufika hapa kutetea na kuweka uwazi masilahi ya watu waliotuchagua. Kwa hivyo, anayebabaika na kuona hayo hayawezi kusemwa atakuwa katika shida ...
view
23 Apr 2013 in Senate:
Bw. Spika, asante lakini nimesumbuliwa sana.
view
17 Apr 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I have just looked at Standing Order No.24(6). My understanding is that it allows a lot of freedom. It promotes everybody here and it gives any Senator an opportunity to stand here and move this Motion and, more so, with regard to the Presidential Address. So, the Standing Order is very clear and any draft amendment will mean that we have to revisit the Standing Orders. So, that is an issue that you need to consider very seriously.
view
17 Apr 2013 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I also stand to support this Motion. First of all, I wish to share my experience as the Whip at the National Assembly and allay fears as expressed by some Senators. Looking at this list, I want to assure hon. Senators that it is absolutely inclusive. It is the prerogative of the Whip to advise parties accordingly if they want to replace any Member listed here. In fact, every Member here can serve in any Committee. I was involved in constructing this list together with other members from the CORD Coalition. We factored in regional ...
view
28 Mar 2013 in Senate:
On a point of order, Mr. Clerk. I think that it would be important to have representatives of the candidates of the coalition parties in the tallying and counting of votes.
view
28 Mar 2013 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. You forgot to call out the representatives of the candidates at the tallying point.
view
28 Mar 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I put in my request and propose that Sen. Ongoro represents Sen. Khaniri, and Sen. Mositet will represent Sen. Kembi Getura.
view
19 Dec 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, nakushukuru kwa nafasi hii nami niweze kuungana na wenzangu kumshukuru Rais kwa mambo mengi ambayo amefanyia taifa hili. Mwishowe nataka kutaja mambo mawili ambayo Wakenya hawatasahau katika maisha yao. Jambo la kwanza ni kwamba Rais ametoa elimu ya bure kwa watoto wa maskini ambao kila siku kila mzazi anamuombea Rais kwa kuona kwamba mtoto wake anasoma bila taabu. Jambo la pili, namshukuru Rais kwa sababu amewaondolea wazazi maskini mzigo wa kuitishwa pesa ya harambee ya kujenga shule. Kwa hivyo, ametoa elimu ya bure na vile vile pesa ya kujenga shule ili watoto wasome bila kuhangaika. Kwa hivyo, ningependa ...
view