Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 661 to 670 of 1060.

  • 11 Oct 2012 in National Assembly: Bwana Naibu wa Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii. Naunga mkono Hoja hii. Hii ni Hoja ya likizo ambayo ilibisha hodi na imeingia wakati unaofaa. Likizo hii itatupa nafasi nzuri ya kurudi nyumbani na kufanya kazi hasa tukitumia pesa za CDF. Pesa za CDF, imesemakana tutapewa asilimia 50. Hiyo imeshaingia na sasa tunangoja asilimia 50. Itakapofika mwezi wa Januari na pesa ziwe hazijatumika, zinaweza kuitishwa tena. Kwa hivyo, tutapata nafasi ya kuweza kuzitumia ili tuweze kuwafanyia wananchi maendeleo. Bw. Naibu wa Spika, jambo lingine ni kwamba, ningependa kuiomba Serikali kwa dhati, tunapoelekea kwenye mfumo mpya wa serikali za kaunti; uchaguzi ... view
  • 11 Oct 2012 in National Assembly: Bwana Naibu wa Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii. Naunga mkono Hoja hii. Hii ni Hoja ya likizo ambayo ilibisha hodi na imeingia wakati unaofaa. Likizo hii itatupa nafasi nzuri ya kurudi nyumbani na kufanya kazi hasa tukitumia pesa za CDF. Pesa za CDF, imesemakana tutapewa asilimia 50. Hiyo imeshaingia na sasa tunangoja asilimia 50. Itakapofika mwezi wa Januari na pesa ziwe hazijatumika, zinaweza kuitishwa tena. Kwa hivyo, tutapata nafasi ya kuweza kuzitumia ili tuweze kuwafanyia wananchi maendeleo. Bw. Naibu wa Spika, jambo lingine ni kwamba, ningependa kuiomba Serikali kwa dhati, tunapoelekea kwenye mfumo mpya wa serikali za kaunti; uchaguzi ... view
  • 5 Sep 2012 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I share the concern of the hon. Member of Parliament, hon. Shebesh. It is true that in the Front Bench, there is no Minister. view
  • 5 Sep 2012 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I think the issue should also be addressed to the quorum itself and with the bell being there, I expect, at least, to have Members of the Front Bench. view
  • 5 Sep 2012 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I undertake to get into that mission. view
  • 5 Sep 2012 in National Assembly: Bi Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Ningetaka kumshukuru mhe. Chachu kwa kuuleta Mswada huu katika Bunge ili tuweze kuuchangia. Taifa la Kenya ndilo taifa la kipekee ambapo uongozi wa juu unaruhusiwa kufanya unavyotaka na kutoa mateso bila chuki kwa Wakenya. Hatungekuwa tunaongea kuhusu ukame katika taifa letu kama tungekuwa tunaliongoza vilivyo na kuangalia mbele ili kuona linaelekea wapi. Tutaunda jopo hili halafu tuunde lingine na lingine. Umekuwa ni mwito kwa Wakenya kuendeleza sera za aina hii. Uongozi wetu ulikuwa ni wa kuunda tume na mambo mengine lakini mwishoni hakuna kinachotokea. Katika nchi hii tuna maji. Tuna ... view
  • 29 Aug 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, ninashukuru kwa nafasi hii ya kuchangia katika Mswada huu ambao umeletwa na Mheshimiwa Khalwale tukijua kwamba, kwa kweli, umefika katika wakati unaofaa. Ninamshukuru Dkt. Khalwale kwa sababu mijadala yake yote katika Bunge hili imekuwa ikihakikisha kwamba taifa nzima na hasa mwananchi wa kawaida amelindwa. Ni vyema tukubali kwa kauli moja kwamba Kenya ni nchi yenye vituko. Ni nchi ambayo sarakasi zake hasa katika mambo ya hela haziishi. Nikimsikiza ndugu yangu Dkt. Khalwale, ninajihisi kwamba labda tuna nchi ambayo haina sheria ama tuna nchi ambayo ina viwango viwili vya watu. Kiwango cha kwanza ni cha watu ... view
  • 22 Aug 2012 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I really do not want to interrupt the hon. Member, but looking at the business before us and the mood of every contributor, I suggest that you call upon the Mover to respond, so that we can move ahead to other business. view
  • 22 Aug 2012 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I stand on a kind request, again, to ask my colleague to allow us to debate just for five minutes. It is because the queue is so long and if we are to take 20 minutes each and yet we are 20 here, that means it will take us two hours of debate. It is good that we debate on this matter for five minutes each speaker so that we allow many hon. Members to speak. view
  • 22 Aug 2012 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I stood here some minutes ago with the support of hon. Members and requested the Chair to kindly reduce the time for contribution from ten minutes to five minutes. This proposal was accepted. However, I have been waiting and queuing for the last three hours to speak. Due to time factor and reading the mood of the House because no one has objected to this Bill, will I be in order to request that the Mover be called upon to respond so that we can move on to another Order? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus